Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Huyu labda umpe nyama ya tako sijui au umroge hilo dushe lake lisisimame huko nje lasivyo na wewe utakua kama mercy tu atakucheat

Mimi sina tatizo na cheatings kabisaa. Mimi labda anishindwe uvivuu na kutojua kutafuta pesaaa. Kama hivo Mercy mimi kupanic, weweee mi mtoto wa kitaa napanic nini kwa mfano? Habari kapiga simu kachambwa wimawima na upupu ataipata huko Nairobi kwa Naima ila sio kwangu. Thubutuuuu. Nikijua Naima yupo nazidisha mahabaa niteketeze, Naima mwenywe anaachia ngazi kwa kukosa attention.

Sisi tuliopata viwanaume ushuzi hivi VIAMINIFUUU KAMA PAPA JOHN PAUL, HAVI CHEAT, HAVIKUSUMBUI, ILA NDO HAVINA HATA SENTI 5 KIPANDEE. VINACHOJUA KUKUBANA TU, NA MAPENZI YA KIHINDIII. Siku umempata mtu kama MOTP unaanzaje kufanya makosa sasa? Oraaaaaaaaa!

Hata akiniambia kama namtamani tamani shoga ako flani. Namtongozeaaa. Chezea mi vaccation, mi ghorofaaa hamuoni mtaani hali ilivo ngumu? Acheni masikhara.
 
Hivi huyo MOTP mnamchkia kweli au mbafanya masikhara. Hapa tu anachepuka mnataka kumtoboa macho, bado mbataka awe ibilisi kabisa aanze mambo gani tena?

Hivi hamjui lara 1 ni mtumishi wa Mungu? Mama wa mafundisho na mahubiri? Ila huyu mpuuzi MOTP nae pamoja na kuwa na kosha bora kabisa ibternational kungwi inakuaje ananaswa kizembe namna hii?

Inamaana kungwi hatoi darasa how to cheat and remain safe? Au bdio anataka MOTP ateme mizigo mingine abakie na kungwiiiiiiii...?
 
ILA JAMANI NAIMAAA MSHENZII NA KIBOKO YA MOTP! HAHAHAAAAAAAAAAAAA! NDO NINI KUPIGA MI SIMU MFULULIZOOOO KAMA ILE NA KUJIAMBULISHA MI NAIMA! HAHAHAAAAAAAAAAA! YAAAAANI KANICHOSHA SHOGA ETUUU.

KAONA MUNGU ANACHELEWA BORA AENDE MWENYEWE NA SURURU KWENYE NDOA YA MOTP AKATIE TIE NYUFA KINDOA CHA MOTP, MPAKA KIBOMOKE CHENYEWE YEYE YUPO KONA STANDBY KUWA MKE WA MOTP. HAHAHAAA HALOOOOO! WANAWAKE SISI.

KWELI ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE.
At times nahisigi ukiwa tu mchepuko, kama kuna ufahamu wako unaondoka hivi. Michepuko are always there kuharibu, hawawezi kumtakia mema mkeo hata siku moja.

Ndo inaanzaga chokochoko kama hivyo, mara simu, mara itakutafuta hata salon unapoendaga etc ili mradi ijitambulishe tu kuwa "tupo" mke uvurugwe upate kichaa cha ndoa uondoke. Hivi kama huyo mume wangu una raha naye sana si umle tu kimya kimya, mie wanitafutia nini? Inatamani kweli kuwa nyumba kubwa ila ndo imenyimwa bahati, ila kujifanyaga sasa haitaki ndoa mtcheew. Mke inabidi kuwa na akili njema haswa, usitetereke ng'oo, akafie huko na kichaa Chake.
 
Heaven Sent don't take this story serious, kuonyesha kabisa hii ni story tu si unaona ni kama MOTP mwenyewe anaongea kwenye story wakti unajua kabisa ni Lara1.

maisha yako hivo tu, huo ndo uhalisia wa maisha ya hapa duniani. don't get upset mpendwa sawaaa...,

have blessed sunday dear
 
Haha take it easy bana, puliiz. I know it's just a story, but unfortunately MOTP amerepresent group kubwa la married men wanaoendekeza hivi vitu, it's a reality
Hapa tunakumbushana tu, siwezi kuwakasirikia unless mhusika ni hubby. So far kila mtu ana maisha yake na choices zake na I have to respect that.
 
At times nahisigi ukiwa tu mchepuko, kama kuna ufahamu wako unaondoka hivi. Michepuko are always there kuharibu, hawawezi kumtakia mema mkeo hata siku moja.

Ndo inaanzaga chokochoko kama hivyo, mara simu, mara itakutafuta hata salon unapoendaga etc ili mradi ijitambulishe tu kuwa "tupo" mke uvurugwe upate kichaa cha ndoa uondoke. Hivi kama huyo mume wangu una raha naye sana si umle tu kimya kimya, mie wanitafutia nini? Inatamani kweli kuwa nyumba kubwa ila ndo imenyimwa bahati, ila kujifanyaga sasa haitaki ndoa mtcheew. Mke inabidi kuwa na akili njema haswa, usitetereke ng'oo, akafie huko na kichaa Chake.
Hahaha naona wa Mbeya city mwenzangu unafungukaaaa adi wakuelewe
 
Hiyo baba Jesca vepeee na SMG yake alafu msukuma. Hahahaaa INA maana watu hamujaona hii sehemu au munaogopa yatawakuta mambo hahaaa you know baba Jesca ametisha sana
 
Haya maisha tu, wanakubali kisha wakinogewa wanaanza ujinga....
 
Afu mnaoniomba namba ya man of the peopleee tulizeni nyege, mtakufa na ngomaaa, hiki kina kirefuuu mjue. Kwanza man of the people condom zinambanaaa mjue, mtaweza kujikaza. Niwape namba nimerogwaaa! Hahahaa!

Ila wanawake man of the people anaomba ushauri na ufirauni watu ndo kwanza mnataka namba jamaniii. Aaaah jamani tema No Free P, man of the people niachieni mimi.
Mwenyewe niko mbioni kuomba namba za man of the people
 
Hiyo baba Jesca vepeee na SMG yake alafu msukuma. Hahahaaa INA maana watu hamujaona hii sehemu au munaogopa yatawakuta mambo hahaaa you know baba Jesca ametisha sana
Baba jesca hana ushawishi kwenye hili pepo La MOTP katumika tu kufikisha ujumbe
 
At times nahisigi ukiwa tu mchepuko, kama kuna ufahamu wako unaondoka hivi. Michepuko are always there kuharibu, hawawezi kumtakia mema mkeo hata siku moja.

Ndo inaanzaga chokochoko kama hivyo, mara simu, mara itakutafuta hata salon unapoendaga etc ili mradi ijitambulishe tu kuwa "tupo" mke uvurugwe upate kichaa cha ndoa uondoke. Hivi kama huyo mume wangu una raha naye sana si umle tu kimya kimya, mie wanitafutia nini? Inatamani kweli kuwa nyumba kubwa ila ndo imenyimwa bahati, ila kujifanyaga sasa haitaki ndoa mtcheew. Mke inabidi kuwa na akili njema haswa, usitetereke ng'oo, akafie huko na kichaa Chake.
Sasa nyumba kubwa wengi uvumilivu unatushinda kama mercy yaaan unaona kuonewa kweli kama mbingu imeshuka chini vile
 
Kwani muathirika ali mcheat Mercy au yule Mke wa KWANZA? Msimfanyie man of the people UNFAIR COUNTS. Sahivi kamuoa Mercy na Mercy kamcheat na watu wa 3 tu. Za nyuma ziliacha kuhesabika kwa mwenye ndoa yake kumove on na maisha mengine. Tuwe fair.
Kama aliweza kumcheat mke wa kwanza na mwisho akaoa mchepuko basi haina shida anaweza tu akaoa mchepuko tena na tena. Yaani unahesabu "watu watatu tu"!!! Na hapo ujue lazima kuna list ameondoa ili tuwaone wachache, mie sitokaa nimtetee ng'oooo!!
 
Mimi sina tatizo na cheatings kabisaa. Mimi labda anishindwe uvivuu na kutojua kutafuta pesaaa. Kama hivo Mercy mimi kupanic, weweee mi mtoto wa kitaa napanic nini kwa mfano? Habari kapiga simu kachambwa wimawima na upupu ataipata huko Nairobi kwa Naima ila sio kwangu. Thubutuuuu. Nikijua Naima yupo nazidisha mahabaa niteketeze, Naima mwenywe anaachia ngazi kwa kukosa attention.

Sisi tuliopata viwanaume ushuzi hivi VIAMINIFUUU KAMA PAPA JOHN PAUL, HAVI CHEAT, HAVIKUSUMBUI, ILA NDO HAVINA HATA SENTI 5 KIPANDEE. VINACHOJUA KUKUBANA TU, NA MAPENZI YA KIHINDIII. Siku umempata mtu kama MOTP unaanzaje kufanya makosa sasa? Oraaaaaaaaa!

Hata akiniambia kama namtamani tamani shoga ako flani. Namtongozeaaa. Chezea mi vaccation, mi ghorofaaa hamuoni mtaani hali ilivo ngumu? Acheni masikhara.
We lara 1 unasema tu cheatings inauma kupita hata msiba [emoji39]
Ukiwaza gademiti unayopewa mapambio anayokuimbia kuwa anakupenda kuliko wanawake wote ardhini alafu uje ustuke ni ndisa looooh lazima ubebe mabegi.
 
Jamani eeee,

Kabla hamjaanza kumkaang MOTP, kumbukeni huyu Mercy alicheat na Mzava!

Kama vile haitoshi, Mercy alianza kudate na MOTP wakati ndoa yake na antenaless iko on fire!

Kama ambavyo Mercy alikua anamsaidia antenaless, na yeye ndo kapata wasaidizi. KARMA IS A BITCH!
 
Sasa nyumba kubwa wengi uvumilivu unatushinda kama mercy yaaan unaona kuonewa kweli kama mbingu imeshuka chini vile
Weeee mume anauma bana mwee[emoji33] [emoji33] . Afu michepuko inajuaga kuvuruga bana, kiasi kwamba hadi akili ije ikukae sawa unakuta ushaharibu sana. So tuombe Mungu atupe hekima na busara za kudeal na hivi vitu vikitokea, coz ukisema tu ushindane naye basi imekucost. Wewe muignore tu na hashuo lake la chura hajulikani amekaa anaruka au amelala, akianza kukufanyia makusudi, wewe mpe tu vibes za mke mwenye akili njema. Atatapatapa akaishie huko shimoni mwake
 
Back
Top Bottom