[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Excuse us. Wewe mwanaume mwenye commitment nije nikulindie commitment yako mimi mchepuko???? Tulia na mkeo huko bana
Povuuuùuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Embu jamani tuseme ukweliii. Heaven Sent shoga aangu MOTP kakuuna sanaaaa. Unaniburudisha na comment zako
Sanaaaaaaaaa. Nashukuru kama nakuburudisha, hata wewe na MOTP mnatuburudisha sanaEmbu jamani tuseme ukweliii. Heaven Sent shoga aangu MOTP kakuuna sanaaaa. Unaniburudisha na comment zako
ole wako lara akatishe story yetu kwa ajili yako....Sanaaaaaaaaa. Nashukuru kama nakuburudisha, hata wewe na MOTP mnatuburudisha sana
Haha hawezi kukatisha bana. Afu Mercy atarudi tu, mbwembwe za nyumba kubwa utaziweza. Ila atarudi afu atakaza, Naima ajiandaeole wako lara akatishe story yetu kwa ajili yako....
lara leta manenoooo......
kama mercy kaondoka mwenyewe si ndo maombi ya mtu yamejibiwaaaa
kanyaga twende
Sasa mbona unajipinga mwenyewe, mara ni story mara maisha ndivyo yalivyo!! Amepanik maana thats how it is, yaani ndio real life la kitaa, sasa bora hata umpate mwenye mapesa yake hata pesa zikufariji kidogo, unakutana na kapuku bin lofa nalo busyyyyy na michepuko eti!!!Heaven Sent don't take this story serious, kuonyesha kabisa hii ni story tu si unaona ni kama MOTP mwenyewe anaongea kwenye story wakti unajua kabisa ni Lara1.
maisha yako hivo tu, huo ndo uhalisia wa maisha ya hapa duniani. don't get upset mpendwa sawaaa...,
have blessed sunday dear
unadhan antenelese ndo hakuwa na nafsi? Mercy naye zamu ndo ishafika fika. ... kwa upanga ...... kwa upangaHaha hawezi kukatisha bana. Afu Mercy atarudi tu, mbwembwe za nyumba kubwa utaziweza. Ila atarudi afu atakaza, Naima ajiandae
Team roho mbya hoyeeeee! Yaani yamkute mazito zaidi.mm wala simpi pole hayo ndio malipo yake tena yaongezeke mengine
Teh double wahala. .Sasa mbona unajipinga mwenyewe, mara ni story mara maisha ndivyo yalivyo!! Amepanik maana thats how it is, yaani ndio real life la kitaa, sasa bora hata umpate mwenye mapesa yake hata pesa zikufariji kidogo, unakutana na kapuku bin lofa nalo busyyyyy na michepuko eti!!!
hahahaha sikujua kama mama yake Heaven Sent upo karibu...Sasa mbona unajipinga mwenyewe, mara ni story mara maisha ndivyo yalivyo!! Amepanik maana thats how it is, yaani ndio real life la kitaa, sasa bora hata umpate mwenye mapesa yake hata pesa zikufariji kidogo, unakutana na kapuku bin lofa nalo busyyyyy na michepuko eti!!!
Mnapotuzidia as if hakuna wanaume wanaotembea na wake za watu!!!! Camoooooon MOTP FCOL!!!!Adui mkubwa wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe!
Mtu anaambia MOTP kaoa, bado anang'ang'ania, mnataka afanyeje?
It's your own fault ladies!
You should love each other na mlindiane. Hapa ndipo wanaume tunapowazidia!
Man of the people mwenyewe anaadmit anachepuka but kwa mke wake mapenzi teleee..mercy ameondoka anahaha vibaya mnooo..niambie ktk michepuko yake yoootee yupi aliachana nae akapata jamba jambaMuulize mkewe wa kwanza kama tupo au hatupoo afu muulize na Ex mchepuko Mercy
Hivi mume wa mtu unamcheat vipi kwa mfano!!! Hapo hakuna cheating bwana.Unatania aisee, naamini haupo serious. Kama alikuwa mwema si angemwambia MOTP kuwa sioni future kwahiyo nina mtu anataka anioe? Kwanini she came clean after she has been caught? That's cheating hakuna justification yoyote hapo
Haha you guys em have a sense of humour bana. Mnahisi kama nimemaindiiii daah, kumbe nachat huku miguu juu. Hayo ni mawazo yangu tu kwenye kuchepuka na hayajawahi kubadilika , so nichukulieni tu poahahahaha sikujua kama mama yake Heaven Sent upo karibu...
mi hataaaa sijajipinga, maisha ndo yalivyo, ila mkanye mwanao asimgombeze MOTP ambaye hata ha_exist.
hakuna namna acha tuwe team roho mbaya tu si kwa madudu hayo halaf anakuja kujitetea ujinga bla bla nyingiiii kutegwa my foot kwani ukikataa watakubakaTeam roho mbya hoyeeeee! Yaani yamkute mazito zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnapotuzidia as if hakuna wanaume wanaotembea na wake za watu!!!! Camoooooon MOTP FCOL!!!!
Unadhani anamgombeza MOTP!! msome vizuri utamuelewa tu.hahahaha sikujua kama mama yake Heaven Sent upo karibu...
mi hataaaa sijajipinga, maisha ndo yalivyo, ila mkanye mwanao asimgombeze MOTP ambaye hata ha_exist.
Bora mama unisemeeUnadhani anamhombeza MOTP!! msome vizuri utamuelewa tu.
Ndio hapo sasa, eti anatafuta na public sympathy kabisaaaa na kuwasingizia wanawake!!? Seriously!! Na hakuna popote alipobakwa wala kushikiwa bunduki. Mfyuuu zake na nusu.hakuna namna acha tuwe team roho mbaya tu si kwa madudu hayo halaf anakuja kujitetea ujinga bla bla nyingiiii kutegwa my foot kwani ukikataa watakubaka