Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Yani kwa hapo, ntakuwa na roho nzuri. Ndoa ni continous efforts za watu wawilistory hii imetufundisha nini?
Wanandoa muheshimiane na muombeane pia, mfunge mmeo/mkeo kwa maombi.
kupiga penalty hovyo kuna madhara makubwa, mwiko kulinganisha kitambi cha mmeo na cha vijana wanaochomekea vzr..., NJIA YA KWENDA KWA MKEMIA MKUU NA IOTE MAJANI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni maombi tumpeleke kwa gwajima kwakweli,et ana mapepo nmechoka kwakweliYeye ana matatizo gani hadi asijiombee?
Akapigwe single touch double manifestationKama ni maombi tumpeleke kwa gwajima kwakweli,et ana mapepo nmechoka kwakweli
Eeeh wanaume wanapenda sana wanawake kama weweto be honest napenda mwanaume ambaye anapenda watoto wake na kumheshmu mkewe
mengine kuvmiliana jaman
You have a strong heart dadaa!to be honest napenda mwanaume ambaye anapenda watoto wake na kumheshmu mkewe
mengine kuvmiliana jaman
Heart attack sisi? mtazipata wenyewe na michepuko yenuYou have a strong heart dadaa!
Waache akina Heaven sent wajidai wanakaba hadi penat, wataambulia heart attack za bureee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heart attack sisi? mtazipata wenyewe na michepuko yenu
Vipi unawish mkeo akuheshimu hivyo na yeye?
Hahah hupendi kuheshimiwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
No thanks!
na ndo maana ya heshima or kujiheshimu otherwise ni usanii au maigizoEeeh wanaume wanapenda sana wanawake kama wewe
Heshima nzuri zaidi ni kubehave when your woman is not around. Sio ukiwa naye unajifanya kumuheshimu, akitoka tu unakuwa public property khaa
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Wapi busha, tezi dume, kaswende, gono, ngoma au kufumaniwa na mke wa mtu? Yaani kweli huyu MOTP katoka salama kote huko?
Yani mchepuko unapata attention kuliko mke, Mungu anawaonana ndo maana ya heshima or kujiheshimu otherwise ni usanii au maigizo
hahahaaa eti public property ,kila mtu anajisevia sio
af ajabu sasa anajisifia kumpeleka mchepuko zenji kitu cha 5 star what about wife?
Mungu anawaona esp yu MOTP
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Yani mchepuko unapata attention kuliko mke, Mungu anawaona