Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Tupo kwenye kizazi na nyakati za hatari mno, pale ambapo wasio cheat wanaonekana kama vile wana kasoro au kuna mambo hayapo sawa. Ndoa sio za kikristo wala kiislam kuvunjika ni jambo la kawaida sana...

Uadilifu umegeuka bidhaa adimu mnoo. Kuna haja ya kujitafakari ni wapi tumekosea
 
Wacha weeee MOTP himself. Sasa pesa unanitumia au hautumi?
 
Ameeeeen!
 
Sasa huu uzi si ni maalum kwa MOTP, yeye ndio kawekwa mtu kati.

MOTP hebu jibu swali la samaritan.
 
Huyu MOTP sijampenda kabisa sijui kwa vile hakuwa na competitor?! Pili wanaume wengi wanaamini wakisema nimeoa wanakuwa free ila ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anaependa kubaki mchepuko milele, atakudanganya mwanzo ntamuheshimu mkeo nyoooo!,.... Siku zikienda nae atataka hiyo hadhi na ukiona mwanamke anakubali kuwa mchepuko muogope huyo ni muuaji na akipata chance ya kuteketeza mkeo na watoto ataitumia ipasavyo,... Kama Unapenda mechi za nje ni bora ubase kwny one night stand baaas...
 
Nawaona nawaona mnawachimba wanaume leo mmepata sababu mnajisahau wanawake matatizo ya MOTP mliyasababisha nyie,nyege za hao wenzenu plus huduma mashallah imewacost,hata mie siwadanganyi ukiingia kichwa kichwa na nishakupa warning nakuchapa nao tu,najua nisipofanya hivyo utaniona bwege wahed.

Kama wajiheshimu kaa mbali na mdudu adindishae utapigwa tu ukiingia penalt box yake.
 
Naomba tu unitajie hiyo sababu itasaidia sana kwa mustakabali wa jamii yetu. Kila mwanaume anaecheat ana sababu zake, hazifanani lakini wote wanaishia cheating. Hapo ndio utata unapoanzia, inawezekana kweli hawa watu wote wanasababu moja?
Wengine wancheat for funny kama kubadilisha mboga tu ila mboga ya asili iko palepale.

Wengine wananukia **** jamani na wanawake kama nyuki mnaunga tela kufuatia harufu ya ua[emoji2] [emoji2] [emoji2] hapa namaaanisha wanaume malaya sana wanapendwa by nature tu na kinadada.

Sababu kuu wanawake mnajisahau sana mkishavikwa Pete na kusign makaratasi ya ndoa,jamani ndoa ni zaidi ya hayo makaratasi na pete jipangeni kwelikweli,mwanzo ulikua unajizungusha nyuzi 360 na kupiga deki mboo mpaka mkunduni leo [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Sikutaka kuongea hicho kitu, ila ni kitu kilicho wazi kabisa. Kuna michepuko ikinogewa, jiandae kuwapoteza mkeo na watoto wako. Ila ndo ukiwaambia hawaelewiiii
 
Daah Amen
 
Unajiteteea motp mwenyewe,vishawishi vinakimbiwa bhana sio vinakimbiliwa
 
Mfano hapo Mercy ana kosa gani mbona hadi mume anakiri kwamba yuko vizuri kila sekta? HuyuMOTP ni tabia yake tu,.. We kisa Mwanamke anakuangalia sn ndo umnunulie soda? Kifupi anapenda attention akiipata anajifanya staki nataka
 
Me nionavyo uyu kijana mop bado sana kuacha michepuko next story kamuuwa uyo wa Kenya
Ningemuona anaakili kama angeamua mkewe amie Kenya ila kitendo cha kuona sawa tu ata mke akienda ntalea watoto teyari kina ukakasi hana tena ratiba na mke usije shangaa akaja kukaa kinyumba na bi kidude Lara
Ndoa jamani inachangamoto tena kwa awa wanaume niatari sana
Walio sema fainali uzeeni awakukosea unajisifu kuja kuwa single father ukasahau uzee wako nani atakushushia net period
 
Mfano hapo Mercy ana kosa gani mbona hadi mume anakiri kwamba yuko vizuri kila sekta? HuyuMOTP ni tabia yake tu,.. We kisa Mwanamke anakuangalia sn ndo umnunulie soda? Kifupi anapenda attention akiipata anajifanya staki nataka
Afu wanaume wanacare sana +huruma na wanawake wasiowahusu. Arghhhhh[emoji35]
 

Unaushauri mzuri kweli. Hongera sana.

Ila wanaume tunapenda vitu adimu. Chukulia MOPT mwenyewe sio saint kusema asione utamu wa nyuma ya pazia la warembo wanaojigonga.

Muhimu kujiepeusha na maradhi. Sio jamaa anajua huyu malaika mwathirika then anaenda kavu. Jamaa namfikiria aliwaza nini wakati yu karibu na mstari wa kifo?
 
Na huko uzeeni ndiko atakakomuhitaji zaidi mkewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…