Weekend Story! The Man of the People love triangle!

hahahaaa shetani ye mwenyewe ameanza kujuta kumuasi Mungu
mana amejikuta anatumika kuliko alivyotegemea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bora amrudie tu atuokoe na sisi kwakweli maana sio kwa tafrani hizi.
 
Aisee mi kwangu bora MOTP kuliko K muhaya... MOTP muoga wa kufungua makoloni kwa hiyo ana cheat tu afanyaje cz ndo hivyo men are born to cheat.. Lakini shem K MUHAYA ye anafungua makoloni kabisaaaa yaan mtu unakuwa na wake wenza wasiokuwa na vyeti ambao unahesabiana nao siku bila shida.. He he hee nyie wanaume muogopeni mungu
 
Looo tarime one maneno yakoo mie hoiii [emoji119][emoji119]
ulikua unajinadi umeokoka duu au nafananisha desaaa[emoji144][emoji144][emoji144]
 
Jamani kuna story la The Woman Of Steel! Nimekutana nalo leo uso kwa uso ! Daaah What can I say! Ila ndo kwanza juzi nimekata mzigooo mpyaaa! Ngoja niukimbize kimbizeee mwezi huu wa 6 Inshaalah Nikipata Kamda nitawaleteaaa! Woman of Steel hatofautiani na MOTP hata kidogoo.

Leo nimeenda kwa shoga angu nae muuza ronya tu, Hamad Woman of Steel Si akaja. Daaah! Story zimeanza saa 7 mchana ndo ibaisha saa hizi. Tamujeee sasa.

Ndo mtulieee
 
Afadhali sasa iwe ni ya mwanamke.
Hebu fanya ulete mambo.
 
Weleteeeeeee
Hapo hautawasikia akina heaven sent wanalalamika!

Mlimkaanga MOTP, sasa zamu ya mwanamke mwenzenu!



DUDE LINAAMSHWAAAAAAA!
 
Character mmoja awe Heaven sent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…