scalethat
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,063
- 1,898
hahaaa ndo hivyo anakuwa mtakatifu ghafla,atakumbusha hadi kiapo mlichokula siku ya ndoaNa akipata magonjwa ni wako huyo umuuuuuguze mwisho akufie, kiruuuuuuuu!(wanajisemea wachaga)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaa ndo hivyo anakuwa mtakatifu ghafla,atakumbusha hadi kiapo mlichokula siku ya ndoaNa akipata magonjwa ni wako huyo umuuuuuguze mwisho akufie, kiruuuuuuuu!(wanajisemea wachaga)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]na mi ndo nachosema hawa bnadam ni waamue kujiheshimu wenyewe
acha mashoga sasa,wengine unakuta bize kakamatia kuku ama bata
mke kamuacha ndani
Ndio hivyo mama, hapo shetani atasingiziwa hadi mwenyewe ajishangae.hahaaa ndo hivyo anakuwa mtakatifu ghafla,atakumbusha hadi kiapo mlichokula siku ya ndoa
Haha wanahangaika na nzi tuna mi ndo nachosema hawa bnadam ni waamue kujiheshimu wenyewe
acha mashoga sasa,wengine unakuta bize kakamatia kuku ama bata
mke kamuacha ndani
hahahaaa ningewaona wajanja zaid kama wangetumia na nyukiHaha wanahangaika na nzi tu
hahahaaa shetani ye mwenyewe ameanza kujuta kumuasi MunguNdio hivyo mama, hapo shetani atasingiziwa hadi mwenyewe ajishangae.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahaaa shetani ye mwenyewe ameanza kujuta kumuasi Mungu
mana amejikuta anatumika kuliko alivyotegemea
Looo tarime one maneno yakoo mie hoiii [emoji119][emoji119]Wengine wancheat for funny kama kubadilisha mboga tu ila mboga ya asili iko palepale.
Wengine wananukia **** jamani na wanawake kama nyuki mnaunga tela kufuatia harufu ya ua[emoji2] [emoji2] [emoji2] hapa namaaanisha wanaume malaya sana wanapendwa by nature tu na kinadada.
Sababu kuu wanawake mnajisahau sana mkishavikwa Pete na kusign makaratasi ya ndoa,jamani ndoa ni zaidi ya hayo makaratasi na pete jipangeni kwelikweli,mwanzo ulikua unajizungusha nyuzi 360 na kupiga deki **** mpaka mkunduni leo [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Umenifananisha kwelii[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Looo tarime one maneno yakoo mie hoiii [emoji119][emoji119]
ulikua unajinadi umeokoka duu au nafananisha desaaa[emoji144][emoji144][emoji144]
WHATEVER YOU DO IN DARKNESS COMES TO LIGHT...................THE END.
...........Hili dude la kumchana Ngosha naliweka kwanza iko siku....
Afadhali sasa iwe ni ya mwanamke.Jamani kuna story la The Woman Of Steel! Nimekutana nalo leo uso kwa uso ! Daaah What can I say! Ila ndo kwanza juzi nimekata mzigooo mpyaaa! Ngoja niukimbize kimbizeee mwezi huu wa 6 Inshaalah Nikipata Kamda nitawaleteaaa! Woman of Steel hatofautiani na MOTP hata kidogoo.
Leo nimeenda kwa shoga angu nae muuza ronya tu, Hamad Woman of Steel Si akaja. Daaah! Story zimeanza saa 7 mchana ndo ibaisha saa hizi. Tamujeee sasa.
Ndo mtulieee
WeleteeeeeeeJamani kuna story la The Woman Of Steel! Nimekutana nalo leo uso kwa uso ! Daaah What can I say! Ila ndo kwanza juzi nimekata mzigooo mpyaaa! Ngoja niukimbize kimbizeee mwezi huu wa 6 Inshaalah Nikipata Kamda nitawaleteaaa! Woman of Steel hatofautiani na MOTP hata kidogoo.
Leo nimeenda kwa shoga angu nae muuza ronya tu, Hamad Woman of Steel Si akaja. Daaah! Story zimeanza saa 7 mchana ndo ibaisha saa hizi. Tamujeee sasa.
Ndo mtulieee
Character mmoja awe Heaven sentJamani kuna story la The Woman Of Steel! Nimekutana nalo leo uso kwa uso ! Daaah What can I say! Ila ndo kwanza juzi nimekata mzigooo mpyaaa! Ngoja niukimbize kimbizeee mwezi huu wa 6 Inshaalah Nikipata Kamda nitawaleteaaa! Woman of Steel hatofautiani na MOTP hata kidogoo.
Leo nimeenda kwa shoga angu nae muuza ronya tu, Hamad Woman of Steel Si akaja. Daaah! Story zimeanza saa 7 mchana ndo ibaisha saa hizi. Tamujeee sasa.
Ndo mtulieee
Sasa utashangaa huyo mwanamke atakavyokaangwa humu ndani...acha niandae popcorn kabisaaaAfadhali sasa iwe ni ya mwanamke.
Hebu fanya ulete mambo.
Ole wenu mumkaange!! Mtulie mumsapoti kama motp.Weleteeeeeee
Hapo hautawasikia akina heaven sent wanalalamika!
Mlimkaanga MOTP, sasa zamu ya mwanamke mwenzenu!
DUDE LINAAMSHWAAAAAAA!