Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Triangle...tuna msabato huku ameingia rasmi kwenye msimamo wa ligi ila umri umemuengua amekaa bench kwanza.

Hili movie la kijeda. Ndani lina muislam, mpentekoste na sasa hivi msabato. Uzuri Mercy amempokea mwokozi ameokoka..hahahahaaaa


Lara wani Ninani hapo??

nayeye yumo ujue ila sijamnyaka nyaka yeye Ninani hapo
 
Meee Tim Lara 1 maana yupo kwenye story ye mla ela tu za uyu mlokole kichaaa ndo ivyo acha tule ela maana anatarajie apate kipapa cha lara1
 
Aaah hilo fumbo ndio wengi tunalisubiria. Siku hizi avatar yake Bible..sijui ndio msabato au Mercy?
Lara kuwa mercy mmh asingekubali kutoka na lizee la 60yrs huko labda kama anataka hela zake za pension[emoji23] [emoji23]
 
Lara kuwa mercy mmh asingekubali kutoka na lizee la 60yrs huko labda kama anataka hela zake za pension[emoji23] [emoji23]

Mie nipo team lara 1 sitaki masihara kabisaaa..najua hataniangusha episode lake. Nyie endeleeeni na Mercy, Sijui antenaless, muathirika, msabato au wale wa mlokole..mie team Lara japo sijui timbwili lake litakuaje
 
Lara 1 naomba cd isiruke ile sehemu ambayo ulimlipa Man of the people Fadhili maana historia yake inaonyesha alio wafadhili waliishia kumpa mzigo wenyewe.

Mkubwa kuna wanaharakati wameshamtakia The man of people tezi dume kama sio busha, huwezi jua nayeye kawa dusheless hafungui tena zipu....acha tusubirie dude. Sibadili team, ndio sie team ushindi mezani...
 
Lara 1 stor fupi bhana refusha.[emoji2] [emoji23] [emoji115]
 
Back
Top Bottom