Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Triangle...tuna msabato huku ameingia rasmi kwenye msimamo wa ligi ila umri umemuengua amekaa bench kwanza.
Hili movie la kijeda. Ndani lina muislam, mpentekoste na sasa hivi msabato. Uzuri Mercy amempokea mwokozi ameokoka..hahahahaaaa
Lara wani Ninani hapo??
nayeye yumo ujue ila sijamnyaka nyaka yeye Ninani hapo