A2G
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 283
- 829
A2G I must admit ulipotokea sikujui ila kwa tunavoendaaa, wewe ni MAN OF THE PEOPLE DAMU DAMUUUU. Na sitaki kuamini wanaume mme stick together with man of the people kimya kimyaaa. Maana siwaoni mkisema lolote juu ya ufirauni wa huyu MOTP. Nina uhakika mna mpa support ya nguvu kimya kimya
What matters in a man is his conscious, Kama mwanaume anajutia madhambi yake na ana hudumia familia yake na mke anampa haki ya ndoa bila shuruti hakuna shida.
Personally kwenye hii stori sijaona kosa la MOTP, kwenye kila tukio lake Ana declare kabisa kuwa kaoa na Ana watoto, mke wake wa kwanza aliyataka mwenyewe kuingia kwenye ndoa akijua kuwa kuna Changamoto ya tofauti za kidini.
In the first place wa kumlaumu ni mke sababu yeye alikubali kuwa atabadili dini halafu akaja kumruka
[emoji12][emoji12]