Weekend Story! The Man of the People love triangle!

A2G I must admit ulipotokea sikujui ila kwa tunavoendaaa, wewe ni MAN OF THE PEOPLE DAMU DAMUUUU. Na sitaki kuamini wanaume mme stick together with man of the people kimya kimyaaa. Maana siwaoni mkisema lolote juu ya ufirauni wa huyu MOTP. Nina uhakika mna mpa support ya nguvu kimya kimya

What matters in a man is his conscious, Kama mwanaume anajutia madhambi yake na ana hudumia familia yake na mke anampa haki ya ndoa bila shuruti hakuna shida.

Personally kwenye hii stori sijaona kosa la MOTP, kwenye kila tukio lake Ana declare kabisa kuwa kaoa na Ana watoto, mke wake wa kwanza aliyataka mwenyewe kuingia kwenye ndoa akijua kuwa kuna Changamoto ya tofauti za kidini.

In the first place wa kumlaumu ni mke sababu yeye alikubali kuwa atabadili dini halafu akaja kumruka
[emoji12][emoji12]
 
Men will always be men, mnajuaga kuteteana khaaa. Tuendelee na story basi tuone mwisho wake.
Why would anyone hate MOTP?
Kwan haudumii familia, tena hadi friend match anatoa kwa ex wife.
Trust me, people hating him are his fans in disguise!
 
Hizi comment naona watu wameamua kuweka mambo bayana kwamba wako bega kwa bega na MOTP...inamaana kweli wanaume wote hawajaona kabisa kasoro kwa huyu X mlokole?
Kuvuruga kote huko?
 
Why would anyone hate MOTP?
Kwan haudumii familia, tena hadi friend match anatoa kwa ex wife.
Trust me, people hating him are his fans in disguise!

Hahahaaa! Sitaki kuamini MOTP has been cleared of his charges 100% and he gets to walk free of charge. MKUMBUKE ZA MWZI 40. MZUNGU ANAKWAMBIA 39 DAYS FOR THE THIEF, ONE DAY, JUST ONE DAY FOR THE OWNER.
 
He'll still get away with it!
Usiombe malaika akageuka shetani hahaaaaa!
 
I expected this maana sio kwa promo hii anayopewa man of the people. Mweupe, diplomatic worker, analipwa dola, Ana honga, anajua kupiga mechi exactly what ladies like.

Kuna team roho mbaya ambao huko PM wanaomba namba yake.
Sasa lara mwenyewe ashahongwa sijui laki mbili akalowaaa!! Huoni sifa anazotoa, yaani anajikuta tu anamwagika. Hapa man of people anajilia kiulainiiiiii.
 
Teh Yani kuna wanaume akiona tu mdada, anavua na Pete ya ndoa kabisa

Ila man of the people naye kazidi kujiendekeza. Kila siku analeta swagga za kujifanya tunalala wote ila hatu-do afu anaishia kuuza mechi, mfyuuu zake
Huyu mzinzi mzoefu anajua haitofika asubhi bila bila. Ila lara anavyomsafisha sasa, kweli pesa mwanaharamu.
 
Lara 1 ukiifupisha hii story haitakua nzuri tena acha tu iendelee...ila kwa hizi comment wanaume wote kweli baba yao mmoja yan mnamsifia MOTP kwa kigezo cha kuilea familia yake vizur,seriously?
 
What matters in a man is his conscious, Kama mwanaume anajutia madhambi yake na ana hudumia familia yake na mke anampa haki ya ndoa bila shuruti hakuna shida.

Personally kwenye hii stori sijaona kosa la MOTP, kwenye kila tukio lake Ana declare kabisa kuwa kaoa na Ana watoto, mke wake wa kwanza aliyataka mwenyewe kuingia kwenye ndoa akijua kuwa kuna Changamoto ya tofauti za kidini.

In the first place wa kumlaumu ni mke sababu yeye alikubali kuwa atabadili dini halafu akaja kumruka
[emoji12][emoji12]
Huo ndio ukweli japo mchungu kwa jinsia yao.
 
Back
Top Bottom