Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi tafadhaliSijui ntamfanyia nani roho mbaya hadi j3
Haha Hapana banamimi tafadhali
Kama akimla itakua moja ya bahati mbaya, kama zile nyuchi nyingine tuNimeisoma,huyo MOTP hovyo kweli, hiyo gia yake eti ngoja nimpe nione mwisho wake!! Anavyojisifia kumpenda mkewe sasa!! His definition of love kwakweli sio ya sayari hii.
Samaritan ukuje dude limeamshwaaa
hahahahah kwashakoo eeh...lara 1 hakawii kusema file limeliwa na virusi kama sio kuvamiwa na international hackers... kabla ya hizo mambo tunaomba huyo MOTP japo kwashakoo tu endapo unamhurumia sana kuhusu tezi dume au busha
Haha eti kwashakoolara 1 hakawii kusema file limeliwa na virusi kama sio kuvamiwa na international hackers... kabla ya hizo mambo tunaomba huyo MOTP japo kwashakoo tu endapo unamhurumia sana kuhusu tezi dume au busha
Kwakweli!!!Ayo ndo malezi kwa definition yake so acha tuende nae hivyo hivyo tu
Khaaaah hiyo bahati mbaya vipi!!! Ataja kula na visivyoliwa huyu.Kama akimla itakua moja ya bahati mbaya, kama zile nyuchi nyingine tu
Gonjwa litakalomtafuna abdalah kichwa wazi asiweze tena kazi ndilo ninalomuombea kwakweli.lara 1 hakawii kusema file limeliwa na virusi kama sio kuvamiwa na international hackers... kabla ya hizo mambo tunaomba huyo MOTP japo kwashakoo tu endapo unamhurumia sana kuhusu tezi dume au busha
MOTP wengi tunamsupport sababu ni mtu wa standard na siku zote mwanaume usipoelewa uko level gani na unapaswa kufanya nini am sorry for you.Siamnini hata mwanaume mmoja japo kwa kuzugaaa tu, ajitokezeee kumpinga man of the people. All my hopes zilikuwa kwa Tarime one ambae sahivi ndo suspect number 1, huenda ndo man of the people.
...kwa maelezo haya ndiyo maana wewe unakuwa suspect number one, kuwa huenda ndiyo MOTP!!!MOTP wengi tunamsupport sababu ni mtu wa standard na siku zote mwanaume usipoelewa uko level gani na unapaswa kufanya nini am sorry for you.
Anajua value ya familia yake kama baba na value ya mke wake pamoja kwamba yawezekana kwa namna moja kuna demu alimkaza ana maku bora kuliko ya mke wake but still hajawahi shusha value ya mkewe au kutelekeza familia yake.
Man of understanding,anawaelewa viumbe wa kike kwamba ukiwaendekeza na kuwasikiliza hawa side chick unapotea kabisa hasa kwa mtu mwenye pesa zake afu anajua kupuliza pipe wanakuganda kama kupe ila jamaa anawapiga chini kimtindo na kurejea home kwa wife wake.
I like this guy[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kwa maelezo haya acha uendelee kua mshukiwa wa kwanza,ila definition yako ya value ya familia naona ni sawa na MOTPMOTP wengi tunamsupport sababu ni mtu wa standard na siku zote mwanaume usipoelewa uko level gani na unapaswa kufanya nini am sorry for you.
Anajua value ya familia yake kama baba na value ya mke wake pamoja kwamba yawezekana kwa namna moja kuna demu alimkaza ana maku bora kuliko ya mke wake but still hajawahi shusha value ya mkewe au kutelekeza familia yake.
Man of understanding,anawaelewa viumbe wa kike kwamba ukiwaendekeza na kuwasikiliza hawa side chick unapotea kabisa hasa kwa mtu mwenye pesa zake afu anajua kupuliza pipe wanakuganda kama kupe ila jamaa anawapiga chini kimtindo na kurejea home kwa wife wake.
I like this guy[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji2] [emoji2] jamani ni maoni yangu kama mme mwenye majukumu,kuna jambo moja tunalojisahau sisi wanaume hasa tunapopata side chick mwenye standard zake,anakupa vitu adimu unachanganyikiwa matokeo tunasahau value ya wake zetu na kuanza kuwapondea dah! I hate this tabia,kula mpapa utosheke but put your wife value ahead.Kwa maelezo haya acha uendelee kua mshukiwa wa kwanza,ila definition yako ya value ya familia naona ni sawa na MOTP
I'm very good at connecting dots, just in case you didn't know![emoji2] [emoji2] jamani ni maoni yangu kama mme mwenye majukumu,kuna jambo moja tunalojisahau sisi wanaume hasa tunapopata side chick mwenye standard zake,anakupa vitu adimu unachanganyikiwa matokeo tunasahau value ya wake zetu na kuanza kuwapondea dah! I hate this tabia,kula mpapa utosheke but put your wife value ahead.