To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Yeah,Sina namnaNi muda aise, sema nlikwambia lzm watakulamba ban😀 sahz ukue mpole Sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah,Sina namnaNi muda aise, sema nlikwambia lzm watakulamba ban😀 sahz ukue mpole Sasa
Unainjoi sana.....Kwa mama
Asante mkuu,wewe wapiUnainjoi sana.....
Nipo hom... Leo wamekuja ankoli zangu..Asante mkuu,wewe wapi
Only AfTATUKabla hujaenda kidimbwi nitumie afutatu [emoji23][emoji23][emoji23]
Halaf leo sku poa sanaHizi mambo sinaga itabidi nianze bwana Maisha yenyewe mafupi afu magumuu tuweke na wakati wa burudani jamani
Oo kumbe ni jambo jema....wasalimu sanaNipo hom... Leo wamekuja ankoli zangu..
Yaaaah Time, you can't keep it, but you can spend it.Hizi mambo sinaga itabidi nianze bwana Maisha yenyewe mafupi afu magumuu tuweke na wakati wa burudani jamani
Zimefika... Fujo zao mi nainjoi tuuOo kumbe ni jambo jema....wasalimu sana
ExtlyYaaaah Time, you can't keep it, but you can spend it.
🤣🤣🤣🤣 Umeuliza maswali mawili chapchapMe nimelala…
Nyie na hili jua lote huko nje mnazururaje? Ok mna magari, hamshuki?
Vip weekend yako inaendaje na umepanga kuimalizia location ipi?
Mliopo kidimbwi tutafutane[emoji4]
Kesho unaenda kazini Mwalimu ?Nipo zangu tu home napika maini na ugali then nitashushia na tikiti.
Ni mimi mwanachama hai wa #KATAANDOA
😂😂😂😂😂😂 Weee usitake kutuchekesha aiseeee....Me nimelala…
Nyie na hili jua lote huko nje mnazururaje? Ok mna magari, hamshuki
Ahahahahah maini.....Nipo zangu tu home napika maini na ugali then nitashushia na tikiti.
Ni mimi mwanachama hai wa #KATAANDOA