Eleminator
JF-Expert Member
- Sep 29, 2022
- 597
- 975
- Thread starter
- #41
Vitambulisho vinakuja soonNipo zangu tu home napika maini na ugali then nitashushia na tikiti.
Ni mimi mwanachama hai wa #KATAANDOA
Kataa ndoa
Ndoa ni Utapeli
Jali Afya ya akili yako