Weekend vibe

Weekend vibe

Hatimaye imefika tena na ndo tuaanza kuimega taratiibu
Jana nilikuwa moshi pale night club nilikuwa namcheck whozu anapiga show,kulikuwa na konyagi tofauti zenye radha ya tangawizi na limao, ulikuwa ukiangiza konyagi nne unaletewa na vidada vimeibeba kwenye chombo kinawaka vitaa, aaah ila baadaye nikachoka nikataka kulala nikazima TV maana nilikuwa naangalia FRIDAY NIGHT LIVE😁😁😃
 
Jana nilikuwa moshi pale night club nilikuwa namcheck whozu anapiga show,kulikuwa na konyagi tofauti zenye radha ya tangawizi na limao, ulikuwa ukiangiza konyagi nne unaletewa na vidada vimeibeba kwenye chombo kinawaka vitaa, aaah ila baadaye nikachoka nikataka kulala nikazima TV maana nilikuwa naangalia FRIDAY NIGHT LIVE[emoji16][emoji16][emoji2]
𝑯𝒂𝒉𝒂𝒂𝒉 𝒐𝒚𝒂 𝒘𝒆𝒆𝒉 𝒖𝒎𝒆𝒛𝒊𝒏𝒈𝒖𝒂[emoji3][emoji3]
 
Leo kuna kisa kizuri clouds njia panda jitahidi usikilize clouds FM
 
Back
Top Bottom