Weekend vibe

Hatimaye imefika tena na ndo tuaanza kuimega taratiibu
Jana nilikuwa moshi pale night club nilikuwa namcheck whozu anapiga show,kulikuwa na konyagi tofauti zenye radha ya tangawizi na limao, ulikuwa ukiangiza konyagi nne unaletewa na vidada vimeibeba kwenye chombo kinawaka vitaa, aaah ila baadaye nikachoka nikataka kulala nikazima TV maana nilikuwa naangalia FRIDAY NIGHT LIVEπŸ˜πŸ˜πŸ˜ƒ
 
𝑯𝒂𝒉𝒂𝒂𝒉 π’π’šπ’‚ π’˜π’†π’†π’‰ π’–π’Žπ’†π’›π’Šπ’π’ˆπ’–π’‚[emoji3][emoji3]
 
Leo kuna kisa kizuri clouds njia panda jitahidi usikilize clouds FM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…