Weekend ya mwisho kabla ya Disemba - njoo tuzungumze

Namba 3

1.Hatutaki link za youtube ukiweza idownload tuwekewe mbichi kama ilvyo
Nisaidie kudownload, wazee siye hayo mambo hatujui
2.Vijanana wakiamua kutoka wasiwe na visirani vya kupangwa wasisumbue maanko zao mtaani siku hiyo tutakuwa tunakula tunda kimasikhara, sio wanakuja mtaani kulazimishwa wazee watoke barabarani
Na kelele za mabomu na risasi, ukuni unasimama kweli?
3.Na mwisho tunawatakia kila la kheri kupambana na serikali yenye bajeti ya kununua bunduki kila mwaka toka uhuru upatikane wao wakiwa na mawe
Ngoja watanganyika wakute hii reply yako uoge matusi πŸ˜‚
 
Ngoja watanganyika wakute hii reply yako uoge matusi πŸ˜‚
Watajua wenyewe

Mtu unatushiana misuli na boloyanki wakati fidodido.! Unatakiwa uwe blucelee kwelikweli

Hata Dame na Alex kama sio huruma za producer Dame angekufa kwenye Double impact

Me nilishauli waende chimbo wachie usumbufu watambuane wajipange wapate udhamini kisha kinuke.!

Yaani wasiishie mtaani tu wakwenda kwa ikulu wanamteka bi ushungi wasepe nae kisha nchi inakuwa yao bila kusumbua mama ntilie na Wabeba zege

Wao wanakaza fuvu kwa diaspora, wataishia kuwa migambo wasumbufu tu hawana jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…