Weekend yangu imeanza vibaya sana, Kioo cha simu kimepasuka, kubadilisha laki 4

Weekend yangu imeanza vibaya sana, Kioo cha simu kimepasuka, kubadilisha laki 4

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Siku ya leo Ijumaa Nilipofika nyumbani nikiwa naitoa simu kwenye mfuko ghafla ikaanguka sakafuni.

Vile nimeinyanyua na kuiwasha haiwaki kabisa kuna vidoti tu vinatoa mwanga

nikajikokota kwa fundi wa karibu, Gharama ya kioo kipya inasogelea laki 4

Nakadirio yalikuwa laki 2 na nusu, nikaona kama kanipiga, nimeangalia mitandao kadhaa bei ni hio hio.

maumivu niliyonayo ni kuingia "gharama nje ya bajeti" hasa ukizingatia nipo kwenye ujenzi, ni gharama ambazo ningeepuka kama ningekuwa makini.

Nimepanga ninunue kesho lakini weekend imeanza vibaya kwangu.

UPDATE: 06/09/2025 - Jumamosi

nimebadilisha kioo kwa gharamahizi

kioo - 360,000
fundi - 15.000
protector - 10.000
 
Aaaaaaahahahahaha hata mimi iliwahi nitokea hyo aiseee sema mi ishu yangu kidogo tofauti..

Leo bana nimekaa nikajiskia tu nisiende job mana usiku nilikesha nafanya kazi mana maulid hii kazi zikawa nyingi.

Sasa mpaka inafika asbhi nikawa nashindwa kujua nalala au naenda job.
Nikasema oky ngoja nilale.

Nilichek phone kumpigia ant dorry mara anasema yupo kwa mama ake
Nikamcheki salome nae hv hv ni mke wa mtu...
Last option ikabaki kwa ant wangu namuitaga tan π huyu kumchek tu akasema baba nakuja sasa hvi an uwezi amini mpaka sasa nakula tuu mpaka naishiwa pawa lakini bado anasema anataka tena na tena aiseeeee
 
Siku ya leo Ijumaa Nilipofika nyumbani nikiwa naitoa simu kwenye mfuko ghafla ikaanguka sakafuni.

Vile nimeinyanyua na kuiwasha haiwaki kabisa kuna vidoti tu vinatoa mwanga

Kwa masikitiko makubwa sana nikajikokota kwa fundi wa karibu, Gharama ya kioo kipya inasogelea laki 4

Nikaona kama kanipiga, nimeangalia mitandao kadhaa nikaona bei ni hio hio

Weekend imeanza vibaya kwangu
Pole aiseee..
 
Tafuta tecno ya Laki na Nusu
 
Simu yako ghali mkuu..... wewe ndiye mmoja wa watumia iphones 16 au 15!

Watu matajiri saana......
Vioo vya iphone 16 vinafika hadi milioni

Vioo ni gharama sana

1757092127057.png
 
Binafsi siwezi kutumia kitu ambacho siwezi kukifanyia matengenezo pindi kikipata hitilafu!

Nakuwa kama nalazimisha vitu ambavyo baadae vitanifanya nife Kwa presha.
hata kama unaweza kukifanyia arekebisho lakini hela lazima ikutoke mkuu, unaweza kumudu lakini maumivu yakawa pale pale
 
Siku ya leo Ijumaa Nilipofika nyumbani nikiwa naitoa simu kwenye mfuko ghafla ikaanguka sakafuni.

Vile nimeinyanyua na kuiwasha haiwaki kabisa kuna vidoti tu vinatoa mwanga

Kwa masikitiko makubwa sana nikajikokota kwa fundi wa karibu, Gharama ya kioo kipya inasogelea laki 4

Nikaona kama kanipiga, nimeangalia mitandao kadhaa nikaona bei ni hio hio

Weekend imeanza vibaya kwangu
Pole ndugu mkata uzi,kwani simu ya laki nne ina,tv,video na nini vile?Mbona kama ghali sana?Ama ni mmoja wa wanamtandaoo?
 
Kwa malalamiko haya ni dhahiri kuwa uchumi wako haukuruhusu kumiliki hiyo simu...ni wazi kuwa hiyo simu imekugharimu kiasi kikubwa kwenye hadhina yako kiasi kwamba bado pengo lake linaishi kwa uchungu moyoni mwako!!!!

Pole sana mkuu.....next fanya lile lililo ndani ya uwezo wako!!

Mfano wako ni kama yule mtu aliyenunua gari anahangaishwa na hela ya mafuta!!!
 
Back
Top Bottom