Weekend yangu imeanza vibaya sana, Kioo cha simu kimepasuka, kubadilisha laki 4

Ndo maana nasemaga dunia hii Mimi ndo Sina hela ila watu Wana hela san
 
Mimi nilipasua Google pixel kioo naambiwa 300k nikamwambia fundi Mungu akubariki sana maana hutaniona tena hapa. Hadi leo hii ipo ndani na mpango nikatoe picha zangu na vitu kadhaa kisha niilime nyundo
 
Siku ya leo Ijumaa Nilipofika nyumbani nikiwa naitoa simu kwenye mfuko ghafla ikaanguka sakafuni.

Vile nimeinyanyua na kuiwasha haiwaki kabisa kuna vidoti tu vinatoa mwanga

nikajikokota kwa fundi wa karibu, Gharama ya kioo kipya inasogelea laki 4

Nakadirio yalikuwa laki 2 na nusu, nikaona kama kanipiga, nimeangalia mitandao kadhaa bei ni hio hio.

maumivu niliyonayo ni kuingia "gharama nje ya bajeti" hasa ukizingatia nipo kwenye ujenzi, ni gharama ambazo ningeepuka kama ningekuwa makini.

Nimepanga ninunue kesho lakini weekend imeanza vibaya kwangu.
Wenzako wanaweka picha halafu wanachangiwa ukabadilishe kioo
 
Ni sawa na mtu kununua European au American cars wakati likiharibika uwezo wa kulitengeneza ni mdogo. Unakufa kwa stress tu.
 
Yamenikuta jana mkuu 😢
ba019249-28d6-4370-8ba4-728d95ad804a.jpeg
 
Hapo fundi anaichek kwanza nimetulia pembeni tuliiiiiii
0ad2817c-370c-4c73-96ab-00cc51cbd996.jpeg
 
maumivu niliyonayo ni kuingia "gharama nje ya bajeti" hasa ukizingatia nipo kwenye ujenzi, ni gharama ambazo ningeepuka kama ningekuwa makini.
MATUMIZI YA PESA NI KUTUMIA
KUFA KUFAANA
 
Ninatumia kadude ka vida hapa cha elfu 63
Kakifa naenda tena vida shop bila presha wala makeke
Vipi Kikekee alipita?
 
Ikiharibika unanunua ingine bila malalamiko wala makasiriko 🤣🤣🤣
Weeeh tecno haiharibiki, unatumia hadi unafunga na rubber band bado inadunda tu🤣🤣🤣
Ikifika expire date inajizimikia tu, nawe ukitafakari unaona halali yake. Unanunua nyingine kiroho safi tu.
 
Hatari sana simu na gari ni vitu ambavyo vinaleta maumivu makali kiuchumi wakati usiotarajiaa 😀
 
Siku ya leo Ijumaa Nilipofika nyumbani nikiwa naitoa simu kwenye mfuko ghafla ikaanguka sakafuni.

Vile nimeinyanyua na kuiwasha haiwaki kabisa kuna vidoti tu vinatoa mwanga

nikajikokota kwa fundi wa karibu, Gharama ya kioo kipya inasogelea laki 4

Nakadirio yalikuwa laki 2 na nusu, nikaona kama kanipiga, nimeangalia mitandao kadhaa bei ni hio hio.

maumivu niliyonayo ni kuingia "gharama nje ya bajeti" hasa ukizingatia nipo kwenye ujenzi, ni gharama ambazo ningeepuka kama ningekuwa makini.

Nimepanga ninunue kesho lakini weekend imeanza vibaya kwangu.
Ingia chumbani kwako liaaaaa mpka uchoke,,,
 
Mimi yangu nilipakigi ndani hivo kioo Lak mbil na 40 nikajionea jau wacha nitafute phone mpya tu
 
Siku ya leo Ijumaa Nilipofika nyumbani nikiwa naitoa simu kwenye mfuko ghafla ikaanguka sakafuni.

Vile nimeinyanyua na kuiwasha haiwaki kabisa kuna vidoti tu vinatoa mwanga

nikajikokota kwa fundi wa karibu, Gharama ya kioo kipya inasogelea laki 4

Nakadirio yalikuwa laki 2 na nusu, nikaona kama kanipiga, nimeangalia mitandao kadhaa bei ni hio hio.

maumivu niliyonayo ni kuingia "gharama nje ya bajeti" hasa ukizingatia nipo kwenye ujenzi, ni gharama ambazo ningeepuka kama ningekuwa makini.

Nimepanga ninunue kesho lakini weekend imeanza vibaya kwangu.

UPDATE: 06/09/2025 - Jumamosi

nimebadilisha kioo kwa gharamahizi

kioo - 360,000
fundi - 15.000
protector - 10.000
Unakosaje laki nne
 
Back
Top Bottom