Pole aiseee..Siku ya leo Ijumaa Nilipofika nyumbani nikiwa naitoa simu kwenye mfuko ghafla ikaanguka sakafuni.
Vile nimeinyanyua na kuiwasha haiwaki kabisa kuna vidoti tu vinatoa mwanga
Kwa masikitiko makubwa sana nikajikokota kwa fundi wa karibu, Gharama ya kioo kipya inasogelea laki 4
Nikaona kama kanipiga, nimeangalia mitandao kadhaa nikaona bei ni hio hio
Weekend imeanza vibaya kwangu
Tafuta tecno ya Laki na NusuSiku ya leo Ijumaa Nilipofika nyumbani nikiwa naitoa simu kwenye mfuko ghafla ikaanguka sakafuni.
Vile nimeinyanyua na kuiwasha haiwaki kabisa kuna vidoti tu vinatoa mwanga
Kwa masikitiko makubwa sana nikajikokota kwa fundi wa karibu, Gharama ya kioo kipya inasogelea laki 4
Nikaona kama kanipiga, nimeangalia mitandao kadhaa nikaona bei ni hio hio
Weekend imeanza vibaya kwangu
Vioo vya iphone 16 vinafika hadi milioniSimu yako ghali mkuu..... wewe ndiye mmoja wa watumia iphones 16 au 15!
Watu matajiri saana......
Wee kioo chako sawa na simu yangu kwa upande wa bei ahahahahha daaaahHii ambayo ninayo kioo kilikuwa 360,000 now ni 260,000
Nisivyopenda kuweka cover,yani hiyo screen protector nimeweka basi tu
Hatar sana.
Pole expert wangu
Kioo million mkuu seriously ishuVioo vya iphone 16 vinafika hadi milioni
Vioo ni gharama sana
hata kama unaweza kukifanyia arekebisho lakini hela lazima ikutoke mkuu, unaweza kumudu lakini maumivu yakawa pale paleBinafsi siwezi kutumia kitu ambacho siwezi kukifanyia matengenezo pindi kikipata hitilafu!
Nakuwa kama nalazimisha vitu ambavyo baadae vitanifanya nife Kwa presha.
Pole ndugu mkata uzi,kwani simu ya laki nne ina,tv,video na nini vile?Mbona kama ghali sana?Ama ni mmoja wa wanamtandaoo?Siku ya leo Ijumaa Nilipofika nyumbani nikiwa naitoa simu kwenye mfuko ghafla ikaanguka sakafuni.
Vile nimeinyanyua na kuiwasha haiwaki kabisa kuna vidoti tu vinatoa mwanga
Kwa masikitiko makubwa sana nikajikokota kwa fundi wa karibu, Gharama ya kioo kipya inasogelea laki 4
Nikaona kama kanipiga, nimeangalia mitandao kadhaa nikaona bei ni hio hio
Weekend imeanza vibaya kwangu
Aiseeh.... million sio pesa kidogo.
Ndivyo nilivyo...natumia simu ileile mwaka wa 5 huu....Miliki simu hata ikipotea, unasema kesho ngoja nikachukue nyingine hii siioni, hakuna Cha pressure Wala nini πππππ