Pole sana mkuu kiroho ni ishara kwamba umeepushwa na jambo baya sana leo kuliko hiyo laki 4 unayoililia. Next time ukiona uko nyumbani halafu unaangusha vitu au kitu chenye thamani kiroho kuna jambo baya linaweza kutokea endapo utaondoka nje ya nyumba hiyo unayoishi. BE AWARE.Siku ya leo Ijumaa Nilipofika nyumbani nikiwa naitoa simu kwenye mfuko ghafla ikaanguka sakafuni.
Vile nimeinyanyua na kuiwasha haiwaki kabisa kuna vidoti tu vinatoa mwanga
Kwa masikitiko makubwa sana nikajikokota kwa fundi wa karibu, Gharama ya kioo kipya inasogelea laki 4
Nikaona kama kanipiga, nimeangalia mitandao kadhaa nikaona bei ni hio hio
Offcourse naweza kumudu lakini nina maumivu ya kwenda kutoa laki 4 ambayo ningeweza kufanyia mambo mengine muhimu zaidi
Weekend imeanza vibaya kwangu
Kumudu gharama ya kitu fulani haimaanishi hutaumia kifedha hasa pale kinapohitaji matengenezo ambayo yalikuwa hayapo kwenye mipango ya matumizi yake.Kwa malalamiko haya ni dhahiri kuwa uchumi wako haukuruhusu kumiliki hiyo simu...ni wazi kuwa hiyo simu imekugharimu kiasi kikubwa kwenye hadhina yako kiasi kwamba bado pengo lake linaishi kwa uchungu moyoni mwako!!!!
Pole sana mkuu.....next fanya lile lililo ndani ya uwezo wako!!
Mfano wako ni kama yule mtu aliyenunua gari anahangaishwa na hela ya mafuta!!!
PoleeSiku ya leo Ijumaa Nilipofika nyumbani nikiwa naitoa simu kwenye mfuko ghafla ikaanguka sakafuni.
Vile nimeinyanyua na kuiwasha haiwaki kabisa kuna vidoti tu vinatoa mwanga
Kwa masikitiko makubwa sana nikajikokota kwa fundi wa karibu, Gharama ya kioo kipya inasogelea laki 4
Nikaona kama kanipiga, nimeangalia mitandao kadhaa nikaona bei ni hio hio
Offcourse naweza kumudu lakini nina maumivu ya kwenda kutoa laki 4 ambayo ningeweza kufanyia mambo mengine muhimu zaidi
Weekend imeanza vibaya kwangu
Vita yangu na anti dorry itaamuliwa mbinguni sio hapa.Aaaaaaahahahahaha hata mimi iliwahi nitokea hyo aiseee sema mi ishu yangu kidogo tofauti..
Leo bana nimekaa nikajiskia tu nisiende job mana usiku nilikesha nafanya kazi mana maulid hii kazi zikawa nyingi.
Sasa mpaka inafika asbhi nikawa nashindwa kujua nalala au naenda job.
Nikasema oky ngoja nilale.
Nilichek phone kumpigia ant dorry mara anasema yupo kwa mama ake
Nikamcheki salome nae hv hv ni mke wa mtu...
Last option ikabaki kwa ant wangu namuitaga tan π huyu kumchek tu akasema baba nakuja sasa hvi an uwezi amini mpaka sasa nakula tuu mpaka naishiwa pawa lakini bado anasema anataka tena na tena aiseeeee
ushamba unawasumbua watanganyika.Nashangaa sana watu wanaohangaika na simu za bei mbaya wakati matumizi yao ni kupiga kutuma sms na kupiga picha tu jambo ambalo unaweza kulifanya hata kwa Samsung ya laki 2 kioo elfu 18
Maumivu mpaka unaandika uzi, kumudu kwake ni mbinde. Sio kwamba humudu bali jasho linakutoka kwanzaSiku ya leo Ijumaa Nilipofika nyumbani nikiwa naitoa simu kwenye mfuko ghafla ikaanguka sakafuni.
Vile nimeinyanyua na kuiwasha haiwaki kabisa kuna vidoti tu vinatoa mwanga
nikajikokota kwa fundi wa karibu, Gharama ya kioo kipya inasogelea laki 4
Nikaona kama kanipiga, nimeangalia mitandao kadhaa nikaona bei ni hio hio.
Offcourse naweza kumudu lakini nina maumivu ya kuingia gharama ambazo hazikuwa na ulazima, gharama ambazo ningeziepuka kama ningekuwa makini.
Weekend imeanza vibaya kwangu
Vimeingilia budget yakeMaumivu mpaka unaandika uzi, kumudu kwake ni mbinde. Sio kwamba humudu bali jasho linakutoka kwanza
Kuna pisi moja ilisababisha nikaangusja Tablet yangu. Ila 'aliilipa" 🤣🤣Ulikuwa unafanyaje? Beba nenda katop up makumbusho huko
Sijaangusha simu nina miaka 🤔
Afu hainaga protector.. na sitokaa niweke
Mkuu unajitetea sana ila uzi wako unajieleza.🤣🤣Kumudu gharama ya kitu fulani haimaanishi hutaumia kifedha hasa pale kinapohitaji matengenezo ambayo yalikuwa hayapo kwenye mipango ya matumizi yake.
hata ukinunua kiatu cha bei rahisi ghafla kichanike njiani uanze kutafuta fundi wa kushona kwa buku huwa ni kero
What's this shit on serious issues?🤣🤣🤣Aaaaaaahahahahaha hata mimi iliwahi nitokea hyo aiseee sema mi ishu yangu kidogo tofauti..
Leo bana nimekaa nikajiskia tu nisiende job mana usiku nilikesha nafanya kazi mana maulid hii kazi zikawa nyingi.
Sasa mpaka inafika asbhi nikawa nashindwa kujua nalala au naenda job.
Nikasema oky ngoja nilale.
Nilichek phone kumpigia ant dorry mara anasema yupo kwa mama ake
Nikamcheki salome nae hv hv ni mke wa mtu...
Last option ikabaki kwa ant wangu namuitaga tan π huyu kumchek tu akasema baba nakuja sasa hvi an uwezi amini mpaka sasa nakula tuu mpaka naishiwa pawa lakini bado anasema anataka tena na tena aiseeeee
Ikiharibika unanunua ingine bila malalamiko wala makasiriko 🤣🤣🤣Kila mara nawaambia, simu ni tecno tu hamuelewi.
Hata hauku muhurumia? 😹Kuna pisi moja ilisababisha nikaangusja Tablet yangu. Ila 'aliilipa" 🤣🤣
Haina mambo mengi laki tatu unapata simu yupoIkiharibika unanunua ingine bila malalamiko wala makasiriko 🤣🤣🤣