Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Usiogope best, kuna siku alinibamba bar nikiwa nafanya yanguBby unajuaje haya yote lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiogope best, kuna siku alinibamba bar nikiwa nafanya yanguBby unajuaje haya yote lakini?
Kwani babe mtu akishapendeza aka kulewa huwa anakubali?Mi mzigua na kimombo wapi na wapi bae?? hapa panaitwa Soul Lounge bby
Bby unajuaje haya yote lakini?
Naona tulipoteana tu,ukipita huku mie napita kuleUmepotea au mimi ndiye nimepotea?
Wewe si ulikataa krate yangu ya safari kipindi kile
Kwa hiyo ndiyo tumekutana kwenye uzi wa pombe? Ama kweli pombe inatupendaNaona tulipoteana tu,ukipita huku mie napita kule
Duu pombe nyingine bhana!! mi nilidhani pafyumKaribuni tuanze weekend![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unakumbuka hata mara ya kwanza tulikutana kwenye uzi wa pombe!Kwa hiyo ndiyo tumekutana kwenye uzi wa pombe? Ama kweli pombe inatupenda
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] unakumbuka hata mara ya kwanza tulikutana kwenye uzi wa pombe!
Aah wapi ndiyo watakuja wengi... hakuna Raha kama kumtongoza mlevi hutumii nguvu nyingi....Ohooo....Utanikosesha wachumba Daby![emoji12] [emoji12] [emoji12]