Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie boss ready wake Curious gal ashapendeza anamsubiriDaby ataniua babu
Haha
Hata hiyo nzuri sema imechelewa kutufikia tushapunguza chupa hapa
Pole sana Mkuu.
Kazi nzuri vilipitiwa na ukame eee?... acha nije unipe location.
Tasafazli give my babe breakSitakuumiza, mi niko so romantic bhana...
![]()
Hayo ninayo baba labda unipe offer ya kingine ila Maharage +Alizet na mahindi yapo ya kutosha! Nilichelewa kupanda Dear ila angalau nimepata gunia 8-9 kwa hekari moja na mbegu ya kutosha kwa ajili ya msimu ujaoKazi nzuri vilipitiwa na ukame eee?... acha nije unipe location.
itabidi tubadilishane gunia moja moja kwa haya[emoji115]![]()
Hongera,Hayo ninayo baba labda unipe offer ya kingine ila Maharage +Alizet na mahindi yapo ya kutosha! Nilichelewa kupanda Dear ila angalau nimepata gunia 8-9 kwa hekari moja na mbegu ya kutosha kwa ajili ya mwakani
Sent using Jamii Forums mobile app
InshaAllah M/Mungu akitupunguzia matatizo yaliyotupata mwaka huu yasitufike mwakaniHongera,
Mwakani viwahishe
Tasafazli give my babe break
Unaona anavyonogesha pendo letu hadi fesibuku
![]()
Utaniweza tu ukiamua...hahahahahhaaaa.... babu sikuwezi
mkwe mi nimekushindwa
mkwe mi nimekushindwa