Mitaa yangu hii sana aisee
Sasa umeijuaje kama ni yenyewe
Sawa Norshadipo siku nitalizungumzia hilo..ila naifahamu vizuri tu tena sana tu...
OH=alcohol,watu wasije kupoteana hapaMaji ni dilutant nzuri sana kwa OH
Ahsante kwa kufafanua mkuu...OH=alcohol,watu wasije kupoteana hapa
Embu niweke bei za vinywajiLeo ushuaniView attachment 786280
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] ndio mdudu wa kichina huyo naona roast ya nguvu white....Ngoja nimalize kulaView attachment 786290
Baada ya hapo utakuwa wapi vile.... maana umenipa mood ya kutoka....White ni kuku na cashew nuts
Unarudi kulala au mnarudi kulala?Nahisi narudi kulala. Nimechoka choka.
ulale sasa mamy ata lugha ya kwenu huijuiUmenipoteza kabisa
ama upo mitaa ya kujidai...mrembo wa kizigua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]