Weekend

Huu mwaka utakua na matatizo. Mi niliongezeka kilo nyingi sana ndani ya mwezi. Ningekua nimefanya mchezo mbaya ningesema labda nina kamtu. Hapo ndo nikasema wacha nijaribu diet nashukuru kidooogo ikaleta matunda
Mi mwenyewe nilijua ni mimba,nikapima nikachoka

Nimejaribu ya mbogamboga nikashindwa kabisa,

Yaani nikikaa hivi napata hamu ya nyama hatari, mchana sili zaidi ya juice au matunda,usiku sasa !!!!
 
Tatizo lingine kina sisi tukifanya mazoezi tunazidisha kula. Kuna kipindi niliendaga gym kama week mbili nikaacha. Maana nilikua natoka gym narudi home navaa naenda kunywa pombe nikaona napoteza tu muda wangu
Kweli.. mazoezi hayaendani na baadhi ya vitu, ndio maana nikamwambia amsake trainer itakuwa easy kwake atamuelekeza na vitu vya kula na kutokula.
 
Mi mwenyewe nilijua ni mimba,nikapima nikachoka

Nimejaribu ya mbogamboga nikashindwa kabisa,

Yaani nikikaa hivi napata hamu ya nyama hatari, mchana sili zaidi ya juice au matunda,usiku sasa !!!!

hahaha mnanichekesha jaman!mie kwenye suala la nyama jaman nimenyooosha mikono!jana nimekula almost kuku mzima
wa kienyej,nikala na samak mchemsho!nikija pima hz kilo!arghhhhh
 
hahaha mnanichekesha jaman!mie kwenye suala la nyama jaman nimenyooosha mikono!jana nimekula almost kuku mzima
wa kienyej,nikala na samak mchemsho!nikija pima hz kilo!arghhhhh
Hapana maisha ni mafupi wacha tu niendelee kula ninachotamani...

Nikifanikiwa kufika 50yrs nitaanza kufanya diet [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimeshaongezeka sana,
Nilipima uzito nimefika 97kg
Najaribu diet ila siwezi kuishi bila kula nyama..
Mazoezi nayo nimeshindwa...
Gym nikienda ntaishia kuliwa tu..
Naona niridhike kwa kweli
Kumbe mi nina afadhali. Nikiona watu mna kilo nyingi hivyo mnanipa tumaini la kuendelea kula wali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…