Ukimaliza kuitumia ulete mrejeshoNgoja nisave kabisa hii picha kwa matumiz ya baadae
Labda ila kwa comments na posts za humu,hebu wafuatilie ndio utajua,kuna Uzi humu wanatupia aina ya watu wanaowatakatumetofautiana basi
Unajiona mkono unazidi. Mi sina kitambi kiviiile ila tumbo langu baya. Sasa bora lipungu3 kidogo ili ubaya wake usionekane sana
Shikamoo Mbiti. Kuku mzima sijawahi kujaribu na siwezi najiona.hahaha mnanichekesha jaman!mie kwenye suala la nyama jaman nimenyooosha mikono!jana nimekula almost kuku mzima
wa kienyej,nikala na samak mchemsho!nikija pima hz kilo!arghhhhh
Labda ila kwa comments na posts za humu,hebu wafuatilie ndio utajua,kuna Uzi humu wanatupia aina ya watu wanaowataka
Hili nitalifanyia kazijitahid kuangalia na age zao kwanza
Sio kila utege ni poa, maana kuna mengine ni elemavu ulio sababishwa na uzito wa dhakar...men bila utege haipendez
hhhhahaha marahabaaa !kuku mwanamke mie namaliza !hapo sili kitu maugali,wali tupa kuleShikamoo Mbiti. Kuku mzima sijawahi kujaribu na siwezi najiona.
Duh...umenipatia kabisa Hornet sema kijitambi sina na sitakiMi mfupi ugonjwa wangu wanaume warefu ,weusi wenye kabody body ka mazoezi ama kijitambi kidogo hivi....!
Sio kila utege ni poa, maana kuna mengine ni elemavu ulio sababishwa na uzito wa dhakar...
Kwa posts na comments za humu sijawahi kuonaWeeee. Wadada wengi wanapenda utege wa mpira kwa taarifa yako