Sio tepete limekatika [emoji17]
Mie haya ni mazoezi ya kukimbizana uwanjani,Sio kila utege ni poa, maana kuna mengine ni elemavu ulio sababishwa na uzito wa dhakar...
Ndoivo mkuu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MaybeBasi ndo ujue.
Duhhh.....Mie haya ni mazoezi ya kukimbizana uwanjani,
Uwanja wa mpira ,mixer skwashi ,changanya na matizi mengine, ya marehemu Ernest Mokake,Tauzany ,juma matokeo,Duhhh.....
Naona unazidi kuleta tungo tata....[emoji12] [emoji12]
Kukimbizana kwenye uwanja gani unamaanisha.....[emoji39] [emoji39]
Kuna uzi jamaa aliwahi kuleta eti alimuota mdada flani wa humu jf, na akaja kabisa kutupia thread ya senkiyu veri machi...tehteehhHahahahahaa na asante wanatoaga kumbe.
Ohhhppppssss.....Uwanja wa mpira ,mixer skwashi ,changanya na matizi mengine, ya marehemu Ernest Mokake,Tauzany ,juma matokeo,
Umeipata mkuu hapo
Kama hivyo sio mbaya sana. Ila unazidisha kiwango. Kwa ulaji huo ungekua unakula nusu ungefanikiwa kidogo kupungua sababu umeacha wanga.
Hahahaha, nilikuelewa lkn ,Mie ndio sikufafanuaOhhhppppssss.....
Hapo sawa mkuu wake, ujue mihuwa mgumu sana kuelewa
Kabisa, naona watu wengi humu wanahadaika na avatarEeeh.
Sawa mkuu, heshima yako bhana....Hahahaha, nilikuelewa lkn ,Mie ndio sikufafanua
Teh teh teh.. ngoja shunie akee aje hapa anisaidie kufanya "mfyuuuuuu"Usijali umeshaniona. Ila subiri nifike kilo 75 ndo tuonane
Ahsante, kiongoziSawa mkuu, heshima yako bhana....
Ha ha ha ha naona kama matumiz yake yatakuwa endlevu ila acha tuoneUkimaliza kuitumia ulete mrejesho
Tehteehh.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mbali sana
Mi nakaa Kimara Mwisho.
Halafu huku hamna hata mazingira rafiki ya kufanya jogging...
Nimeshaongezeka sana,
Nilipima uzito nimefika 97kg
Najaribu diet ila siwezi kuishi bila kula nyama..
Mazoezi nayo nimeshindwa...
Gym nikienda ntaishia kuliwa tu..
Naona niridhike kwa kweli
Ndiyo,niko huku njia ya kuelekea matosaNyumba imepona na vuguvugu la upanuzi?
Ndiyo,niko huku njia ya kuelekea matosa