Weekend

pita london lounge kijiwe chetu wakaz wa ubungo uone wekend zetu pia zilivyo..

usiku nitakuwa tips.. wala bata wote humu mtaokuja tips msisite nitafuta
London kijiwe changu cha zamani nimemiss mishkaki yao na ndizi
 
Nahisi nimeenda hapo miaka minne iliyopita
Me mwaka jana mwanzoni kilikuwa kijiwe changu sana nilikuwa na shemeji yangu mmoja yaan ni mtu wa bata mpaka nikawa namkimbia ukimuendekeza kila siku ni kulewa tu london lounge ye ndio kanifanya nipajue pale
 
Nakujali na kukupenda shem
lazima nkufuatilie.

Kipind hicho nilikuwa sja date na ndugu yako. Nilikuwa nakufuzia wewe.

[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa nini sasa usifunguke halafu shemeji kuna sehemu hapa chit chat kabla hatujazoeana ulikuwa unamtolea mtu povu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…