Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
NakusalimiaAbee
WoiiiiiiUnataka kwenda wapi tena bila mimi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wew si utakuwepo pembenUnataka kwenda wapi tena bila mimi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bebi sio kwa wivuu huooUvae kiheshima ni shemeji ako uyo
Hata huku kuna wadau sana mkuu chilaxIlo tangazo ungeweka insta ungepata sana wadau
Umenikumbusha last weekend dada angu alinambia "ningekupeleka kwa shemeji yako ila hivyo ulivyovaa hakawii kubadili mawazo". Nikajua utani bwana. Kesho yake akanipigia simu niende ila anasisitiza uvae vizuri sitaki uje umtege shemeji ako. Kumbe bwana ake fisi kweli nimeenda nimevaa suruali ila bado akaanza kuleta za kuleta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uvae kiheshima ni shemeji ako uyo
Eeeenh namuonaga wa mjini aisee halafu wadada wanampapatikia hivi Erica alimkula kweli nakumbuka Erica enzi zile nikasema anawolewaHahaahahaaaaa. Sio mchaga yule masai bwana. Yule akiniona atanisumbua akishalewa. Alikuaga shemeji ako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uvae kiheshima ni shemeji ako uyo
Ebu kuya[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitavaa dera mama [emoji23][emoji23][emoji23]
Anhaaa hapo sawa[emoji23] [emoji23] [emoji23] wew si utakuwepo pemben
Kila abiria achunge mzigo wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bebi sio kwa wivuu huoo
Shoga liwe pana pana[emoji23] [emoji23] lisiruhusu chura kuonekana kwa urahisuNitavaa dera mama [emoji23][emoji23][emoji23]
Wadada wanamtongoza jamani. Sema kazuri ila umalaya tu. Alikua ananiambia beb huyu naoa kabisa. Walikaa miezi mitatu wakaachana [emoji23][emoji23][emoji23]. Walikutana wote matatisoEeeenh namuonaga wa mjini aisee halafu wadada wanampapatikia hivi Erica alimkula kweli nakumbuka Erica enzi zile nikasema anawolewa
Hahahahaha ilitakiwa uvae sketi na blauzi ya kitenge,blauzi ina bega lefu kwenda juu na remba kubwa kama la kinaijeria[emoji23] [emoji23]mashemeji wa hivo siwapendi,yan kumkula shoga/mdogo wa mpenzi wake haoni hatari.Ujinga zaidi ni wa mkulwaji,unakubalije kukulwa na shemejio sasaUmenikumbusha last weekend dada angu alinambia "ningekupeleka kwa shemeji yako ila hivyo ulivyovaa hakawii kubadili mawazo". Nikajua utani bwana. Kesho yake akanipigia simu niende ila anasisitiza uvae vizuri sitaki uje umtege shemeji ako. Kumbe bwana ake fisi kweli nimeenda nimevaa suruali ila bado akaanza kuleta za kuleta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuya dadaaaaEbu kuya
Watu na miwivu jamaniShoga liwe pana pana[emoji23] [emoji23] lisiruhusu chura kuonekana kwa urahisu