Weekend

Weekend

Uvae kiheshima ni shemeji ako uyo
Umenikumbusha last weekend dada angu alinambia "ningekupeleka kwa shemeji yako ila hivyo ulivyovaa hakawii kubadili mawazo". Nikajua utani bwana. Kesho yake akanipigia simu niende ila anasisitiza uvae vizuri sitaki uje umtege shemeji ako. Kumbe bwana ake fisi kweli nimeenda nimevaa suruali ila bado akaanza kuleta za kuleta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaahahaaaaa. Sio mchaga yule masai bwana. Yule akiniona atanisumbua akishalewa. Alikuaga shemeji ako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeenh namuonaga wa mjini aisee halafu wadada wanampapatikia hivi Erica alimkula kweli nakumbuka Erica enzi zile nikasema anawolewa
 
Eeeenh namuonaga wa mjini aisee halafu wadada wanampapatikia hivi Erica alimkula kweli nakumbuka Erica enzi zile nikasema anawolewa
Wadada wanamtongoza jamani. Sema kazuri ila umalaya tu. Alikua ananiambia beb huyu naoa kabisa. Walikaa miezi mitatu wakaachana [emoji23][emoji23][emoji23]. Walikutana wote matatiso
 
Umenikumbusha last weekend dada angu alinambia "ningekupeleka kwa shemeji yako ila hivyo ulivyovaa hakawii kubadili mawazo". Nikajua utani bwana. Kesho yake akanipigia simu niende ila anasisitiza uvae vizuri sitaki uje umtege shemeji ako. Kumbe bwana ake fisi kweli nimeenda nimevaa suruali ila bado akaanza kuleta za kuleta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha ilitakiwa uvae sketi na blauzi ya kitenge,blauzi ina bega lefu kwenda juu na remba kubwa kama la kinaijeria[emoji23] [emoji23]mashemeji wa hivo siwapendi,yan kumkula shoga/mdogo wa mpenzi wake haoni hatari.Ujinga zaidi ni wa mkulwaji,unakubalije kukulwa na shemejio sasa
 
Back
Top Bottom