Weekend

Weekend

Na mwingine kanikuta kweny uzi gani sijui uko,ananiambia nilikua nakuona una heshima kumbe unadanga hadi makaburini unajitangaza kabisa kwenye nyuzi za watu[emoji23] nikacheka tu maana hajui alisemalo.

Sio codes zote lazima zifunguke kwa kila mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona eenh mdangaji gani anajitangaza
 
Back
Top Bottom