let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Jikite kusoma Bible pindi Habari inapohusu mpinga Kristo na NWO. Hao unaowatumia kama Rejea juu ya mpinga Kristo madai yao mengi ni uwongo wa makusudi ama bahati mbaya. Biblia imeeleza habari za mpinga Kristo kwa upana na matukio ya siku za mwisho ajabu watu wanaacha kudili na biblia inachosema wana dili kinachosemaa na kikundi ama mtu fulani..watakuambia "Papa" ndiye mpinga Kristo! Ila ukisoma bibilia, bibilia inamkataa.watakuombia" US ndiye taifa la mpinga Kristo" ila ukisoma biblia, biblia inakataa. Usipojikita kwenye biblia utakuwa kama Dustin been kupokea kila uchafu.Hii NWO mbona hata wasabato wanaivhambua vizuri kabisa kila kitu kipo wazi. Hakuna kificho. Saivi tuna soko la fedha kila raia analifikia alipo kiganjani mwake. So hii kunadalishana pesa oftentimes baadaye mtu ataropoka kuwa ni Bora tuwe na sarafu moja.
Mana nahitaji kununua gari Mia kidogo from either Japan or German Niko France Mara nakutana na exchange rate sio rafiki. Kama shuleni ama bungeni wanavyopangwa mtu kuongea kuwa inatakiwa hela kwa ajili ya remedial class ili walimu wapate motisha wafundishe excess hours Mara imepita iyo.
Tena walimu wanaikomalia kuwa hebu rudia kuelezea vizuri Mana hujaeleweka na bungeni ivyo Ivyo Mambo yalivyo.
Mara inatakiwa tuwe na express road dar to Moro iwe toll roads kumbe Ni watu Wana ajenda zao. Wawekezaji binafsi so wakodishiwe ardhi yetu Basi na wao walipe Kodi.
Ila bana