WEF Klaus Schwab and Globalist Billionaire George Soros declare ,West must govern like role model China and China must be part of the NWO initiative

WEF Klaus Schwab and Globalist Billionaire George Soros declare ,West must govern like role model China and China must be part of the NWO initiative

Hii NWO mbona hata wasabato wanaivhambua vizuri kabisa kila kitu kipo wazi. Hakuna kificho. Saivi tuna soko la fedha kila raia analifikia alipo kiganjani mwake. So hii kunadalishana pesa oftentimes baadaye mtu ataropoka kuwa ni Bora tuwe na sarafu moja.

Mana nahitaji kununua gari Mia kidogo from either Japan or German Niko France Mara nakutana na exchange rate sio rafiki. Kama shuleni ama bungeni wanavyopangwa mtu kuongea kuwa inatakiwa hela kwa ajili ya remedial class ili walimu wapate motisha wafundishe excess hours Mara imepita iyo.

Tena walimu wanaikomalia kuwa hebu rudia kuelezea vizuri Mana hujaeleweka na bungeni ivyo Ivyo Mambo yalivyo.

Mara inatakiwa tuwe na express road dar to Moro iwe toll roads kumbe Ni watu Wana ajenda zao. Wawekezaji binafsi so wakodishiwe ardhi yetu Basi na wao walipe Kodi.

Ila bana
Jikite kusoma Bible pindi Habari inapohusu mpinga Kristo na NWO. Hao unaowatumia kama Rejea juu ya mpinga Kristo madai yao mengi ni uwongo wa makusudi ama bahati mbaya. Biblia imeeleza habari za mpinga Kristo kwa upana na matukio ya siku za mwisho ajabu watu wanaacha kudili na biblia inachosema wana dili kinachosemaa na kikundi ama mtu fulani..watakuambia "Papa" ndiye mpinga Kristo! Ila ukisoma bibilia, bibilia inamkataa.watakuombia" US ndiye taifa la mpinga Kristo" ila ukisoma biblia, biblia inakataa. Usipojikita kwenye biblia utakuwa kama Dustin been kupokea kila uchafu.
 
Dini zimeisaidia nini dunia hii?..i believe in sayansi na technology.

Dini ni upuuzi na wafia dini ni mojakati ya watu wapuuzi na wajinga.

Bila sayansi na technology hata wewe mleta uzi usingekua unaeneza upuuzi wako humu jf.

#MaendeleoHayanaChama
Kwa hiyo wewe ni mwanachama wa Scientology.Yes,that is a Satanic Cult.
It is a religious system based on the seeking of self-knowledge and spiritual fulfilment through graded courses of study and training. It was founded by an American science fiction writer called L. Ron Hubbard (1911–86) in 1955.Pole kwa kumkumbatia Shetani kisawasawa.Badala ya kumuamini Mungu wa kweli you believe in human creation,usingepotoka zaidi.
 
Sayansi imetupa majibu mengi hapa duniani..hiyo dini imeleta nini cha maana kwenye dunia hii..watu wanauana wanatengana wanachukia kisa dini.

Ukiumwa eti kaombewe umelogwa..ila sayansi inakupa majibu na tiba ya ugonjwa.

Dunia inahitaji technology na sayansi zaidi kuliko dini..dini ni ustaarabu wa kipumbafu na uliolitwa na wakati.

Yes,typical satanic thinking.Hata jina lako la kimtandao tells the whole story.

Ila naomba ujue kwamba what you call science and technology is the curse of humanity.Nikikutafakari vizuri naona wewe sio mjinga,you know that you are defending evil.
 
Jikite kusoma Bible pindi Habari inapohusu mpinga Kristo na NWO. Hao unaowatumia kama Rejea juu ya mpinga Kristo madai yao mengi ni uwongo wa makusudi ama bahati mbaya. Biblia imeeleza habari za mpinga Kristo kwa upana na matukio ya siku za mwisho ajabu watu wanaacha kudili na biblia inachosema wana dili kinachosemaa na kikundi ama mtu fulani..watakuambia "Papa" ndiye mpinga Kristo! Ila ukisoma bibilia, bibilia inamkataa.watakuombia" US ndiye taifa la mpinga Kristo" ila ukisoma biblia, biblia inakataa. Usipojikita kwenye biblia utakuwa kama Dustin been kupokea kila uchafu.
Nashukuru Ila unajua kuwa biblia imechakachuliwa kwa baadhi ya maneno. Yaani ipo kwa ajili y kutuziba mwanga wapo wachache wanaojua Siri za ulimwengu wamebakia nazo sirini sie huku hatujapewa
 
Nashukuru Ila unajua kuwa biblia imechakachuliwa kwa baadhi ya maneno. Yaani ipo kwa ajili y kutuziba mwanga wapo wachache wanaojua Siri za ulimwengu wamebakia nazo sirini sie huku hatujapewa
Umejuaje kuwa imechakachuliwa na si kinyume chake?. Ni kitabu kipi na kurasa zipi unajua(sio kuhisi) kuwa zimechakachuliwa?? Unaweza lete ushahidi hapa kuthibitisha madai yako?.
 
Sawa, tuyaache....Ila kubali kwanza kuwa madai yako msingi wake ni story za kwenye vijiwe vya kahawa na CD za akina Sheikh Mazinge na Maiko.
Sijajua ukweli halisi. Ila nachojua future yetu Mungu hajataka tuione kesho hata siku moja. Mana hata hizi dalili zinaelezwa zilikuwepo hata huko miaka bilioni. Mana binadamu Ni yule yule hajabadilikaga behaviors zake. Kama Ni selfishness ipo miaka na miaka. Uchoyo Ni asili ya kila kiumbe hai
 
Back
Top Bottom