Mejasoko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 298
- 600
Baada ya kutoa fungu la kumi yaani 1/10 (10%) ya mapato yako na sadaka kwa wamuaminio Mwenyezi Mungu na agizo lake Hilo kuhusu baraka za kiuchumi kinachofuata ni kuweka 1/5 ya kipato chako kama akiba kwa ajili ya hii itakusaidia
1.kukabiliana na dharura pamoja na wakati ujao usio dhahiri (uncertainities)
2. Kutumia vizuri fursa zinazojitokeza kiuchumi kwa sababu ya misuli ya kifedha utayoipata kwa akiba uliyojiwekea
3. Kuepuka kuwa mtumwa wa mikopo isiyo rafiki kama kausha damu na madeni yasiyotakikana
4.Ukimudu kuweka 1/5 ya kila kipato chako ni mwanzo wa kuaaga umaaikininna kupelekea kuanzia safari ya utajiri
5.Utakuwa mwenye nguvu kifedha, utakopesha watu hutakua na haja ya kukopa, naam thamani ya pesa yako itaongezeka maradufu hasa utapojipatia vitu vya thamani kubwa kwa gharama wakati wasioweka akiba wakipoteza vitu vya thamani kubwa kwa ajili ya shida mdogo, au kupata vitu vya thamani ndogo kwa gharama kubwa.
NB: Kanuni hii ya akiba ya 1/5 ya mazao ndio aliyoitumia Yusuf akiwa waziri mkuu wa Misri na kufanya Misri kuwa Taifa kubwa lenye nguvu kubwa kiuchumi na kiutawala wakati huo (Super Power)
kwa hiyo ndugu unayesoma hapa kama ulikua unaijua hii tayari vyema sana tuendelee kupambania hili, na kama ni mara ya kwanza ichukue hii utanishukuru baadae.
Kwa elimu na ushauri zaidi kuhusu masuala ya kifedha na uchumi karibu PM.