Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,052
- 2,866
Uhakika tarehe 22 ila sasa mziki wake, usiombe bado upo nyumba za kupanga, watoto wanasoma, nyumbani jamii inakutegemea.... mwezi July naenda kujilipua mkopo nimalizie kibanda changuWewe itabidi utandikwe fimbo hivo hivo na ukubwa wako😅una kiburi sababu every ni uhakika