2v1
JF-Expert Member
- Mar 28, 2024
- 247
- 358
Kweli kuweka akiba ni jambo zuri, lakini hii inategemea na kipato anacho ingiza mtu binafsi na mazingira kwa ujumla. Mfano X anaingiza 100k kula kwa mama, kulala kwa mama, Y anaingiza 100k kula anajitegemea, kulala anajitegemea. Uwekaji wa akiba kati ya watu hawa wawili lazima utakuwa tofauti. Binafsi mimi naona Mungu ananjia nyingi za kumfundisha namna ya kuweka akiba mja wake. Akiba si fedha tu bali hata vitu, elimu,mashamba nk..