Weka 20% (1/5) ya mapato yako yote kama akiba, weka akiba kwanza kabla ya kutumia kila kipato unachokipata

Weka 20% (1/5) ya mapato yako yote kama akiba, weka akiba kwanza kabla ya kutumia kila kipato unachokipata

Wewe itabidi utandikwe fimbo hivo hivo na ukubwa wako😅una kiburi sababu every ni uhakika
Uhakika tarehe 22 ila sasa mziki wake, usiombe bado upo nyumba za kupanga, watoto wanasoma, nyumbani jamii inakutegemea.... mwezi July naenda kujilipua mkopo nimalizie kibanda changu
 
Back
Top Bottom