Weka 20% (1/5) ya mapato yako yote kama akiba, weka akiba kwanza kabla ya kutumia kila kipato unachokipata

Kweli kuweka akiba ni jambo zuri, lakini hii inategemea na kipato anacho ingiza mtu binafsi na mazingira kwa ujumla. Mfano X anaingiza 100k kula kwa mama, kulala kwa mama, Y anaingiza 100k kula anajitegemea, kulala anajitegemea. Uwekaji wa akiba kati ya watu hawa wawili lazima utakuwa tofauti. Binafsi mimi naona Mungu ananjia nyingi za kumfundisha namna ya kuweka akiba mja wake. Akiba si fedha tu bali hata vitu, elimu,mashamba nk..
 
Ni kuweka nidhamu kwanza, nidhamu ya kutunza ndio mbegu, mengine yote ni matokeo hakuna kinachoshindikana, ni kuamini kwamba na kuamua kuanza
Nidhamumu gani bwana wewe ebu wacheni kufanya watu wajinga. Take home yenyewe tarehe 20 tuu Kila kitu kwishney tena hapo nidhamu kweli kweli.
Bro...everyone can be clever the trick is not to think others are stupid
 
....And once you have a good to well established Cashflow..then..leverage on Appropriate Debts to move forward at quick a pace....
 
Nidhamumu gani bwana wewe ebu wacheni kufanya watu wajinga. Take home yenyewe tarehe 20 tuu Kila kitu kwishney tena hapo nidhamu kweli kweli.
Bro...everyone can be clever the trick is not to think others are stupid
Shida inaanza pale tunapokubali matatizo yatudhibiti badala ya kuyadhibiti, yaani maisha yanatuendesha badala ya kuyaendesha, pesa zinatutawala badala ya kuzitawala, tumeumbwa tumiliki na kiutawala mkuu, sio kumilikiwa na kutawaliwa na changamoto, kila kitu kinaanzia kwenye mtazamo (mindset) ukishaliweka mtazamo sawa na kuanza kuuishi kwa vitendo kila kitu kinabadilika (Vinaumbwa vipya na nchi zinageuka) ialike Roho Takatifu (Kamilifu) kwenye mtazamo (Mindset) wako kila kitu kitakwenda vile inapaswa kuwa
 
Kitu kikubwa kabisa hiki, kila kitu kinawezekana kuwa, kama tu mtu atabadili MINDSET na kufocus zaidi katika kuwa POSITIVE.

Kuanza na"haiwezekani" "kipato kidogo nitasave nini" tayari ni kujiondoa katika njia ya kufanikiwa.

Sijui kama mtu anaelewa.
 
Pesa ni ulinzi wewe huo ndio mtazamo sahihi kuhusu pesa
 
Sure
 
 
Izo ni inspirational speeches zisizo na uhalisia wowote kwa mtu mwenye uchumi wa kawaida.
Hata uchumi mkubwa ulitoka kuwa uchumi mdogo mpaka wa kawaida na kufikia uchumi wa juu cha muhimu ni kuzingatia Kanuni na nidhamu tu
 
Kuna watu dharura zilishatangulia kitambo sijui huu msamiati watauelewa?
 
Uzi mzuri sana. Ukiwa na malengo utapaa. Sasa ongezea na framework ya 7 Baby Steps, utaona matokeo. Nimeizungumzia hapa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…