una level gani ya elimu?Habarini ndugu wajamvi !nimatumaini yangu mu wazima
Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza,Uzi huu ni maalum kwa wana jf kuweka CV zao kama vile vyeti vya elimu mbalimbali (shule ,chuo au kampuni) ,leseni yako(maalum Kwa madereva) .Lengo la kufanya hivyo ni kuwawezesha wana jf kupata kazi Kwa urahisi na kuacha kuzunguka zunguka na bahasha kwenye ofisi mbalimbali
Vilevile tunawasaidia wale wanaotaka kuwaajiri watu waweze kuwapata Kwa urahisi Kwa kuangalia CV zao humu.
Nawasilisha.
Unatakiwa kuwa mfano mkuuNimeamua kutoa nafasi kwanza Kwa wengine nisijeonekana najipendelea
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] yeye hataki kuitumiaitumie tu
Usalama wa taifa ni nini?Cv ni very sensitive information. si vizuri kuweka public, na si salama. Coz huku kuna askari, usalama wa taifa, na vibara wa chama tawala, wanaweza zichukua na kuzitumia kwa manufaa yao ww ndio ukapata shida. Tafuga mbinu nyingine
Acha usenge we fala una hamu ya paipu au?Punguza hasira weka cv
Hutak kazi bora zaidi au we rais?Dada mi nakazi tayari
Ni bora ungetupa email yako tukufuate huko. Hapa hatuwezi wekaNdio mi ni rais wa kampuni yangu natafuta watu ni waajiri
kampuni ya kukusanya CV za watu?...ikauze au![emoji20]Ndio mi ni rais wa kampuni yangu natafuta watu ni waajiri
Labda ana kampuni ya kutafutia watu kazi.kampuni ya kukusanya CV za watu?...ikauze au![emoji20]