Weka CV yako hapa

Weka CV yako hapa

Habarini ndugu wajamvi !nimatumaini yangu mu wazima
Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza,Uzi huu ni maalum kwa wana jf kuweka CV zao kama vile vyeti vya elimu mbalimbali (shule ,chuo au kampuni) ,leseni yako(maalum Kwa madereva) .Lengo la kufanya hivyo ni kuwawezesha wana jf kupata kazi Kwa urahisi na kuacha kuzunguka zunguka na bahasha kwenye ofisi mbalimbali
Vilevile tunawasaidia wale wanaotaka kuwaajiri watu waweze kuwapata Kwa urahisi Kwa kuangalia CV zao humu.
Nawasilisha.
una level gani ya elimu?
 
Cv ni very sensitive information. si vizuri kuweka public, na si salama. Coz huku kuna askari, usalama wa taifa, na vibara wa chama tawala, wanaweza zichukua na kuzitumia kwa manufaa yao ww ndio ukapata shida. Tafuga mbinu nyingine
 
Usalama wa taifa ni nini?
 
Nikuwekee wewe then?? Unataka ndoa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wana jf changamkieni fursa ajira zipo wekeni cv
 
Back
Top Bottom