Weka CV yako hapa

[emoji20][emoji20][emoji20]
ngoja waje
Wekeni CV changamkieni fursa
Siyo rahisi Kama unavyofikiri.. Hivi vitu ni confidential.

Umetumwa na nani? Hupati mtu!!! Utasubiria sana.

Hujampata mtu kwa style hii budaa [emoji41][emoji41][emoji41]

Watu mmekosa vitu vya kupost namna hii

Tungeanza na wewe ingependeza zaidi.

Na sie ambao tunaopenda kulima tutume nini?
 
Kwa akili yako finyu ukajua watoa ajira Jf?

Kwa taarifa yako ajira iliyobaki ni kilimo na jamii forum hakuna mashamba!

"Karudi baba mmoja toka safari ya mbali......"

Watoto wake wakaja, ili kumtaka mali...., kama mnataka mali mtaipa shambani"
 
Unataka kujua majina halisi, umeshtukiwa
 
Nimezaliwa 1976 Nimesoma Darasa la Tatu Uyole na 2006 nikahitimu darasa la saba, ilipofika 2011 nikaajiriwa na Stamico baadae nikahitimu kidato cha nne 2010 na kupewa shahada ya Sheria 2009 chuo cha mkwawa.

Hadi sasa nategemea kumaliza masomo yangu ya kidato cha sita 2019
 
Viv 6 ya form Chuo Kikuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…