Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Nadhani anafanya masiharaDuuuhhh wee Mkuu unamaanisha kweli au ??.
hahahahahaa jaribu kua serious .
AnataniaHahahaaa mkuu kwa hili umetukosa
ID yako tu ni fakero... Avatar ndo usiseme vyuma vimekaza mapaka kutu... Anza ww kwanza kuweka real ID na AvatarHabarini ndugu wajamvi !nimatumaini yangu mu wazima
Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza,Uzi huu ni maalum kwa wana jf kuweka CV zao kama vile vyeti vya elimu mbalimbali (shule ,chuo au kampuni) ,leseni yako(maalum Kwa madereva) .Lengo la kufanya hivyo ni kuwawezesha wana jf kupata kazi Kwa urahisi na kuacha kuzunguka zunguka na bahasha kwenye ofisi mbalimbali
Vilevile tunawasaidia wale wanaotaka kuwaajiri watu waweze kuwapata Kwa urahisi Kwa kuangalia CV zao humu.
Nawasilisha.
Naumwa nawe weka vyakoWeka acha woga
mzee wa vyuma ututafutie ajira[emoji23]
Acha zako mi nimeogopa Avatar yako etii vyumaWoga wako ndio umaskini wako
Tunaomba CV zako kwanzaMimi natafuta watu ni waajiri
wata wanatafutwa hivi?Mimi natafuta watu ni waajiri