Weka CV yako hapa

Weka CV yako hapa

Habarini ndugu wajamvi !nimatumaini yangu mu wazima
Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza,Uzi huu ni maalum kwa wana jf kuweka CV zao kama vile vyeti vya elimu mbalimbali (shule ,chuo au kampuni) ,leseni yako(maalum Kwa madereva) .Lengo la kufanya hivyo ni kuwawezesha wana jf kupata kazi Kwa urahisi na kuacha kuzunguka zunguka na bahasha kwenye ofisi mbalimbali
Vilevile tunawasaidia wale wanaotaka kuwaajiri watu waweze kuwapata Kwa urahisi Kwa kuangalia CV zao humu.
Nawasilisha.
ID yako tu ni fakero... Avatar ndo usiseme vyuma vimekaza mapaka kutu... Anza ww kwanza kuweka real ID na Avatar
 
CV[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Wewe CV yako iko wapi ?
unataka ugushi vyeti vya watu ?
 
Tuoneshe mfano mkuu, ebu weka yako.
Kunawatu sijui wana waza nini?
 
Back
Top Bottom