COMORIENNE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 923
- 1,054
Wape tahadhari wale wenye presha ya kupanda maana mwili huishiwa nguvu kabisaaMchaichai mbichi yaani yale majan, chemsha Kama chai, mpaka maji yabadirike rangi,,,kunywa kila siku asbui, mchana, jion,,,,utakuja kunishukuru
Niko MwanzaUko mkoa gn ndgu naweza kukusaidia
Mlonge ndo dawa yangu Bora zaidi duniani
Muwekee mafuta ya nguruwe kiasi kwenye hiyo pombe lazima aacheNahitaji mtu anisadie ndugu yangu aiache pombe Jamani nisaidieni
Weka tumbaku kwenye hilo Jina halafu lala nayo mpaka asubuhiJamani naombeni msaada wa dawa wa jino linauma balaa aseeeee jana hadi kula nimeshindwa
Dawa ya mtu kuiacha pombe ni kumuombea /maombi apokee uponywaji kufunguliwa kutoka maroho/vifungo vya ulevi.Nahitaji mtu anisadie ndugu yangu aiache pombe Jamani nisaidieni
naunga mkono hoja HAIFAISasa huko ni kurogana haifai hiyo
Kweli mkuunaunga mkono hoja HAIFAI
Uwe unakunywa maji ya kutosha au juice za matunda ni nzuri pia kufanya mmeng’enyo wa chakula tumboni uwe rahisi au vyakula venye nyuzi nyuziMkuu kuna time natoaga chozi chooni. Ahsante ngoja nikajaribu
😅😅😅Kaka huwa unakunya kokoto??[emoji1787][emoji1787] mpaka machozi kukutoka.