Weka hapa Tiba asilia ulizowahi kutumia na zikakusaidia, mimi zangu hizi hapa

Weka hapa Tiba asilia ulizowahi kutumia na zikakusaidia, mimi zangu hizi hapa

Mchaichai mbichi yaani yale majan, chemsha Kama chai, mpaka maji yabadirike rangi,,,kunywa kila siku asbui, mchana, jion,,,,utakuja kunishukuru
Wape tahadhari wale wenye presha ya kupanda maana mwili huishiwa nguvu kabisaa
 
Nahitaji mtu anisadie ndugu yangu aiache pombe Jamani nisaidieni
Dawa ya mtu kuiacha pombe ni kumuombea /maombi apokee uponywaji kufunguliwa kutoka maroho/vifungo vya ulevi.

2)yeye mwenyewe mlevi apate neema ya kuamua kuacha na awe na SABABU (mfano adverse effects ajutue madhara na hasara pombe zimemsababishia,AJUTIE )aweke dhamiri ya kuiacha NIA na UTAYARI na wa kuiacha pombe.

ulevi ni roho chafu kabisa ambayo inamsumbua mtu inampeleka awe mraibu wa ulevi..anakuwa anawaza pombe mud wote...ni roho chafu kama mapepo/mizimu/majini yanayompelekea mtu kuwa chapombe ..Mraibu wa ulevi mwenye mapepo/roho chafu za ulevi anakuwa kama teja wa pombe.
Hakuna dawa ya kienyeji ,mitishamba au tambiko ambalo ni dawa ya kuacha pombe .
DAWA PEKEE ni 1)mlevi mwenyewe awe tayari kuacha pombe na awe na sababu zitakamfanya aache +2)MAOMBI (YESU PEKEE)ili asi default mana anaweza akaacha kwa muda kidogo tu baadae akarudia tena ulevi,s
 
Wale wanaopata tatizo la mchango linalopelekea kukosa kushika mimba

Kama wapo tuwasiliane .

Pia Magonjwa ya tumbo Kama kuunguruma tuwasiliane.
 
Wanawake wote mliopo humu , nawasiokuwepo humu watokwao damu ukeni bila Kikomo(mwisho)..... Dawa ipo SHIDA mwenyeshida usiogope nifate nbox mtishamba upo unapona.....kabisa
 
Mwenye dawa yakutoa harufu mwilini au harufu ya jasho kali linalonuka Hata baada yakumaliza kuoga baada ya MDA mfupi mwenye tiba karibu
 
mwenye dawa ya nyonga jamani mwezi wa tano sifanyi mazoezi kwa amani naombeni msaada wakuu
 
UTI sugu dawa yake uchemshe Ndevu za mahindi au majani ya mchai chai hutasikia tena
 
Mkuu kuna time natoaga chozi chooni. Ahsante ngoja nikajaribu
Uwe unakunywa maji ya kutosha au juice za matunda ni nzuri pia kufanya mmeng’enyo wa chakula tumboni uwe rahisi au vyakula venye nyuzi nyuzi
 
Back
Top Bottom