Weka hapa Tiba asilia ulizowahi kutumia na zikakusaidia, mimi zangu hizi hapa

Pole lkn kwa haraka tumia ndulele kupigia mswaki únaikata unakamulia kwenye mswaki unaswak kutwa ×2 asbhi na jion ndan ya wik 1 tu utaona angalizo usimeze chochote wakt unaswaki ukimeza n sumu hyo
asante sana boss, so baada ya kuswaki c naweza kusukutua tu na maji ya kawaida
 
Mm na mafua karibu kila siku...msaada please
Tafuna kitunguu saumu kila siku asubuhi na tangawizi kila unapolala kwa siku tano.

Ukiona hali bado tumia dawa za uzio kama citrezin kwa siku 7 mpaka 14, lakini ni vema ukajua vitu unavyotumia au mazingira yanayokuzunguka hayo ndiyo yanayopelekea wewe kupata mafua kika mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…