Weka hapa Tiba asilia ulizowahi kutumia na zikakusaidia, mimi zangu hizi hapa

Weka hapa Tiba asilia ulizowahi kutumia na zikakusaidia, mimi zangu hizi hapa

asante sana boss, so baada ya kuswaki c naweza kusukutua tu na maji ya kawaida

Mkuu, kila siku sukutua na chumvi, bumba mate mazito yenye chumvi sukutulia eneo lenye jino bovu. Unasukutua unatema mate (chumvi ibakie mdomoni) utasukutua HADI ile chumvi uliyoweka mdomoni iishe.

Hii ni mjarabu kabisa bila rongo rongo.

Hata jino likikuuma litulize kwa hiyo style
 
Naomba kujuzwa tiba mbadala ya homa ya manjano yani full mwili kuchoka viungo kuuma na kukojoa mkojo njano tupu
Pole mkuu chukua majan ya mparachch,mchaichai,na majan ya mashika nguo kama utayapata ukikosa hayo mashka nguo tumia hiyo aina 2 tu chemsha mengi weka hta kwa kigeren k1. Kunywa hyo 1×3 utaona maajab yake ,na ukikosa hivyo tumia maganda ya mananasi hasa yale ya kitenge hivi unachemsha yale unakuwa unaknywa
 
Kuna mtu anaenda kuangukia pua huko PM kwako[emoji16][emoji16]
Hapana mkuu sema nitaka nimpe nmba ya mwenye dawa yupo pale mwanza ni mbibi tu wa makamo mi kasaidia ndgu zang weng sna akiwemo babang mzazi
 
Heartburn ina dawa yake ya asili

Aka kiungulia..
 
Dawa ya kuondoa kipara
Paka mavi ya ng'ombe yale mabichi yalitolewa na ng'ombe muda mfupi tu eneo husika kisha vaa kitu cha kuzuia kama kofia zile za kike lala asubuhi koga endelea na kazi zako utaona mabadiliko
 
Pole mkuu chukua majan ya mparachch,mchaichai,na majan ya mashika nguo kama utayapata ukikosa hayo mashka nguo tumia hiyo aina 2 tu chemsha mengi weka hta kwa kigeren k1. Kunywa hyo 1×3 utaona maajab yake ,na ukikosa hivyo tumia maganda ya mananasi hasa yale ya kitenge hivi unachemsha yale unakuwa unaknywa
Asante sana mkuu maana ishanitesa sana yani nakosa raha muda wote viungo vinauma tu
 
Kwa wale wazee wa kumeza "Azuma" najua washanielewa...just in case imetokea dharula ukapita" rough road.."wewe tafuta kitunguu swaumu vile vya kienyeji tumba tano kubwa meza...hii ifanyike soon tu baada ya kutoka huko..ikibdi kwa muda wa siku mbili au tatu..
 
Back
Top Bottom