Weka hapa tukio ambalo hutokuja kulisahau

Weka hapa tukio ambalo hutokuja kulisahau

Siwezi kusahau nilijikata kichwani na shoka wakati napasua kuni 2010 lakini ujana nililazwa siku tatu nakuruhusiwa mpaka sasa niko vizuri
mwanangu kacheki kwenye mahospitali ya ukweli hivi vitu vinaletaga madhara sana uzeeni au siku ukipata trip ya India pitia hospitali za ukweli wakucheki kama hujadhurika sana
 
mwanangu kacheki kwenye mahospitali ya ukweli hivi vitu vinaletaga madhara sana uzeeni au siku ukipata trip ya India pitia hospitali za ukweli wakucheki kama hujadhurika sana
Tatizo uwezo mkuu ni ngumu kufanya check up hayo maisha sijafikia
 
sasa ukiwa huna nyeti ndio mkojo haujitengenezi na je ulikuwa unahisi kukojoa? ningependa kupata hiyo experience
Hiyo ilikua ndumba ya sumbawanga mkuu, cjui hata ilikuwaje yaani fanya yote ila mke wa mtu siyo sehem ya kuchezea wengine walisha watengeneza wake zao.
 
Tarehe 10/3/2016 nilipata ajali mm na mshikaji wangu J usiku saa mbili Tabora Vijijini kama unaenda nzega. Vioo vilimwingia machoni mm nikaumia mguu ikabid nipigane kiume had afike hospital na mvua inanyesha Giza la hatar..
Alipona kwa Uwezo wa Mungu
 
Kwa upande wangu mimi sitokuja kusahau siku nilitembea na mke wa mtu baada ya kufika nyumbani nashika nyeti zangu nakuta hamna kitu, kusema kweli nilipagawa ila nashukuru zilirejea baada ya siku mbili wala sikumwambia mtu nilivumilia kiume.
Mm ilikua ni miaka ya nyuma kidog nliamshwa asubuh kwa mkwara mzito wa polis nlivyotoka tuu nkaulzwa kama nnajua chochote kuusu mauaji yaliyotokea kwa jiran yetu na wakat huo nlikua nmelala dukan kwa mjomba peke angu..nlikua kipnd icho nlibaki natetemeka tuuu maana ndo kwanza Huyo polis ananipa taarifa.tulikamatwa wapangaji nyumban nzima na kupelekwa ktuo cha police na hatimaye magereza (gereza la Karanga moshi) nkiwa na kesi ya mauaji na huku cmjui Huyo aliye ukiwa maana alikua na cku chache tangu kuamia kwake..nlimwona akiwa maiti tukiwa naye kweny defenda la polisi nlikaa magereza weee ila Mungu ni mkubwa tulikuja kutoka ..
 
Kuna siku MOJA nikimtokea MTOTO FULANI mkali sana maeneo FULANI,,, nakumbuka siku hyo kulikuwa na mvua kubwa sn tu,,, alipita DEMU MMOJA mkali sana,, uzalendo UKANISSHINDA ikabidi nimtokee,,, mtoto alinielewa vzr sana na ikafikia hatua ya KUTOA NAMBA ZA SIMU,,, SABABU mvua Ilikuwa inanyesha? Ikabidi tukajibanze SEHEMU ktk duka LA MANGI ili ikikata waendelee na hamsini ZAKE,, basi pale tulikuwa na watu wengi kiasi tusisubiri mvua na huku KIDUME NIKITEMA MADINI,, na maneno matamu ya kumtoa ANACONDA pangoni,,, baada ya mvua kukata basi yule mrembo alinipa namba zake na kuahidi kukutana maeneo FULANI ksho YAKE,,,, nikiwa katika PILIKAPILIKA ZILE ZA kuagana,,, mara NASIKIA SAUTI ikinisalimia nyuma tu Kati ya watu wasiojuwa wamesimama pale pembeni wakisubiri mvua,,, kugeuka kumbe BABA NA MAMA MKWE nao walikuwa PALE,,, na wamesikia MADINI yote niliyokuwa nakoroma,,,, aisee,,, nilitamani niyeyuke pale pale,,, kama zile picha Za akina SHIVOO, nilihisi JOTO LA AJABU SANA,,,, ni MIEZI sasa imepita ila sina Hakika kwamba hawa wakwe zng watanichukuliaje?au watapotezea.... Bado kumbukumbu haijatoka kichwani....
Usjali walijua unajkkumbushia tuu kunoa visu vyako
 
Usjali walijua unajkkumbushia tuu kunoa visu vyako
Mkuu USO umeumbwa na aibu mkuu,,, hadi LEO najifanya busy sn... Najisahaulisha na lile janga LA UKWENI.. lakini sijasahau bado
 
Hiyo ilikua ndumba ya sumbawanga mkuu, cjui hata ilikuwaje yaani fanya yote ila mke wa mtu siyo sehem ya kuchezea wengine walisha watengeneza wake zao.
ngoja nikupe live mkuu umetupiga fix kwenye ili
 
Mm ilikua ni miaka ya nyuma kidog nliamshwa asubuh kwa mkwara mzito wa polis nlivyotoka tuu nkaulzwa kama nnajua chochote kuusu mauaji yaliyotokea kwa jiran yetu na wakat huo nlikua nmelala dukan kwa mjomba peke angu..nlikua kipnd icho nlibaki natetemeka tuuu maana ndo kwanza Huyo polis ananipa taarifa.tulikamatwa wapangaji nyumban nzima na kupelekwa ktuo cha police na hatimaye magereza (gereza la Karanga moshi) nkiwa na kesi ya mauaji na huku cmjui Huyo aliye ukiwa maana alikua na cku chache tangu kuamia kwake..nlimwona akiwa maiti tukiwa naye kweny defenda la polisi nlikaa magereza weee ila Mungu ni mkubwa tulikuja kutoka ..
 
Nakumbuka niliharibikiwa na gari sehem ya mbuga halaf wakatokea simba watatu.
 
Back
Top Bottom