Weka hapa tukio ambalo hutokuja kulisahau

Weka hapa tukio ambalo hutokuja kulisahau

Kukimbia kutoka Gongo la mboto mpaka Uwanja wa taifa jukwaani wanapokaa watazamaji wa mpira.Tena nilikimbia peku bila viatu kwenda na kurudi.

Ilikuwa 16/02/2011 Kuanzia saa 2 usiku ndio nilianza kukimbia bila kupenda(MABOMU YA GONGO LA MBOTO)
 
Sitosahau siku nasubiri kutangazwa mgombea wa Uraisi niliempigania kwa nguvu zote na habari za ushindi wake kuwa hazina shaka yoyote hatimae mpuzi mmoja akazima furaha yetu kirahisi rahisi tuu kwa kusema AMEUFUTA UCHAGUZI NA MATOKEO YAKE YOTE nilijua km kweli ninaishi AFRIKA
 
Tukio kubwa kwangu ni siku ya ile wanapigana Mayweather na paqiao,niligonga mademu watatu kitanda kimojo.hiyo nalo sio dogo
 
Kitendo cha Kunyimwa mkopo wa elimu ya juu huku nina vigezo na kupoteza ndoto ya kusoma nikiamini ingenisaidia kunijengea uwezo na misingi mizuri ya kujitegemea na kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayo izunguka jamii kwa uelewa mkubwa na ...japo maisha yanaendelea lkn naichukia bodi ya mikopo elimu ya juu
Mkuu wewe ni kama mimi.[emoji17][emoji17][emoji17]
Nlipagawa sana mpaka wazazi ikabidi waanze kuhangaika kunifariji namshukuru MUNGU niliweza kupiga moyo konde na maisha kuendelea. Najipanga mwaka huu nirudi shule!
 
Back
Top Bottom