Are you sure??Mwaka mrefu sana, hata wanawake wenyewe tu wanachemsha ndo iwe mwanaume
UmenenaINAWEZEKANA.KAMA WATU WANAJITUNZA MPAKA MIAKA 30 NDIPO WAOE ,WATASHINDWA MWAKA MMOJA?
Sema kizazi hiki kinaendekeza uzinzi na uasherati sana.MTU akiwa na SELF CONTROL hatashindwa.
Operesheni gani ichukue mwaka kupona?kwa mfano mkeo anumwa na amefanyiwa operesheni,na hatakiwi kuguswa kwa zaidi ya mwaka,je inawezekana kuvumilia?swali hili ni maalum kwa wanaume tu
Mwaka?? Duh ananirudisha enzi za secondary??? Hapana kwa kwelikwa mfano mkeo anumwa na amefanyiwa operesheni,na hatakiwi kuguswa kwa zaidi ya mwaka,je inawezekana kuvumilia?swali hili ni maalum kwa wanaume tu
Kwa asiye na hofu ya Mungu hawezi kabisa my sista, hata wajuvi wa mambo hayo wanasema mwanamke akijitahidi sana ni miezi 10 tu, thereafter uvumilivu unamshindaMy kaka mito mbona kamwaka kafupi sana!!!
Hahaha huyo sijui ni ma mdogo, huku boss, huku ni sista basi shida tupu. My kaka likija suala la kuhimili sex, wanawake na wanaume tunatofautiana sanaaaa. Nimeshajibu swali lako hapo tehKwa asiye na hofu ya Mungu hawezi kabisa my sista, hata wajuvi wa mambo hayo wanasema mwanamke akijitahidi sana ni miezi 10 tu, thereafter uvumilivu unamshinda
Hebu tumuulize mfanyakazi wako Heaven Sent atwambie yeye anakaaga muda gani, teh!
Ngoja basi nikakusome kumbe, ujue huyu boss wako ndo kanikurupua nilikuwa sijasoma uzi woteHahaha huyo sijui ni ma mdogo, huku boss, huku ni sista basi shida tupu. My kaka likija suala la kuhimili sex, wanawake na wanaume tunatofautiana sanaaaa. Nimeshajibu swali lako hapo teh
Hahaha ukanisome wapi tena, mbona unakuwa na tabia kama za dada ako khaaNgoja basi nikakusome kumbe, ujue huyu boss wako ndo kanikurupua nilikuwa sijasoma uzi wote
Daah ujue nimechanganyikiwa sijui, eti nilielewa kuwa umeishajibu somewhere kwenye uzi huu, sa nimeenda kusurvey uzi mzima holaaa!! mmh kumbe ulimaanisha vingine, duuh naona uzee unanizidia sasaHahaha ukanisome wapi tena, mbona unakuwa na tabia kama za dada ako khaa
Hahaha endelea tu kuzeekaDaah ujue nimechanganyikiwa sijui, eti nilielewa kuwa umeishajibu somewhere kwenye uzi huu, sa nimeenda kusurvey uzi mzima holaaa!! mmh kumbe ulimaanisha vingine, duuh naona uzee unanizidia sasa