Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hahaha yani kipindi kile nilikuwa nacheka peke angu hadi nikataka kuwa kama taahira. Kuna watu walikuwa wanatoa majibu mule + visa vyao vya mapenzi me ni kucheka tu. Uje huku uwakute dina na warumi. Vichambo vinawakolea hadi mtu anajiquote kujichamba yeye mwenyewe hahhahahah
geniveros sijui yuko wapi mwaya
Yaani nahisi wewe ulikuwa hucheki, that was jf kwakweli yaani ukiingia huku hutamani kutoka daaah!! Imebaki historia